Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,506
Reaction score
18,872
1568786_aftamath_of_valentine_jpgcad894c2db68cbd44385bd28adc7e766.jpg



Wadau na najua mnahusika hapa, umeiona ulivyojibu.....? mwallu, Excel, mwekundu, Karucee, Asprin, watu8, Heaven on Earth, Zinduna, Mr Rocky, Arushaone, utafiti.....
 
Last edited by a moderator:
Niko pamoja na watu8 hapo kwenye post yake
 
Last edited by a moderator:
Nilikua na Smile to tunasmailishana.
1 Wakorintho 13:4 ''Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5 Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, 6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. 7 Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.8 Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.''
Hii inamhusu zaidi utafiti na Tized na Mndengereko maana walisherehekea sana valentine na kuna kamtu kanaitwa Excel bila kumsahau Mentor
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom