Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
umenena mtu wangu,
Ushauri uliousema hapa wakiupata baadhi ya wanachadema damu lakini wenye ubongo wa kutokufikiri wataona kama unawatukana.
who is synovate? hivi vyama vya upinzani should conduct their own studies, that will be another way of evaluating themselves!
Hii kusubiri ulipwe deni lako , halafu uchikichie sio vizuri, ni vyema hivi vyama vikajua mapigano ya sasa yako too scientificaly. kukaa ofisini kusubiri kudra za mwenyezi sio vizuri.
Hao waliofanya study, wanaweza wakawa wamepika data, kesho wanaweza kusema Mbowe anaongoza! wakati sio. Hivi siku za hivi karibuni mwananchi wa kawaida huko vijijini anajua Mbowe anafanya nini? isn't this alone questionable? angalau Slaa watu wanasikia mara huku mara huku, Mbowe kwenye hiyo list kapandikizwa, halafu watabweteka. CCM hao....
Waberoya nikisema that is stupid advice utakasirika ngoja nibadili Chadema haitafanya utafiti na ku cook data zake eti ionekane inafaya vizuri na ku cheat wananchi hayo ni mawazo finyu na mfu yanayotumiwa na CCM, that has no room in Chadema it is simple and clear hili jibu nilitayalisha kujibu post ya Kubwajinga hapo juu kama au ni wewe yule yule unaweza kumfikishia ujumbe