Duuh whyView attachment 3316960
Mkuu watu wanapiga HEDEX muda huu
Duuh whyView attachment 3316960
Mkuu watu wanapiga HEDEX muda huu
Kuna watu wamepasua A+ za 95 na HAWAJACHAGULIWA 😃Duuh why
kwaniniKuna watu wamepasua A+ za 95 na HAWAJACHAGULIWA 😃
Tusubirie tamko kesho ama Jumatatu 😃 maana kesho najua watu lazma watumie exclamation words za kutoshakwanini
vp unepita ?Tusubirie tamko kesho ama Jumatatu 😃 maana kesho najua watu lazma watumie exclamation words za kutosha
Na 90 yangu nimekula za uso 😔 kuna mdau humu ana 95 naye amekula za usovp unepita ?
Ni kujaribu wakati mwingine tuu. Maana mtu hachaguliwi sababu kapata 95% kinacho amua ni ratio ya candidates na nafasi zilizopo.Sasa kuna umuhimu gani wa kwenda usaili kama umepata 95 na hukuchaguliwa
Una chiki binafsi tu na Magu. Magu aliajiri watu wengi tu enzi za utawala wake. Kama hukuajiriwa ni wewe ila sio kusema watu hawakuajiriwa.Miaka 6 tu ya magu,
Huyu Mzee katutengenezea janga kubwa la ajira litakalotucost miaka 100 mbeleni uko mpk Kuja kulisolve kukaa sawa.
-Magu alipunguza watumishi WA umma maofsini, waliokua watumishi wakarud mtaani na kua jobless.
-magu akashindwa kuajiri watumishi wapya, akijua fika kua Kila mwaka vyuo kibao vinatema graduates mtaani.
-magu aliua sekta BINAFSI Kwa kuwanyanyasa matajiri, akisahau kua ndo mwajiri mkubwa hapa nchini.
Alale mahali pema peponi, Ila Kwa hili janga, Kiukweli AMETUCOST pakubwa Mno
Mi nmejiajiri mkuu, naongea Kwa ajili ya vijana, Sina chuki yoyote na magu, anayo mazuri yake Mengi, Ila icho kitengo alinibugi sanaUna chiki binafsi tu na Magu. Magu aliajiri watu wengi tu enzi za utawala wake. Kama hukuajiriwa ni wewe ila sio kusema watu hawakuajiriwa.
Sasa kama hakuajiri miaka 6 na nafasi zilikuwepo kwa nini wasiajiriwe wote ambao walipaswa kuaniriwa kwa kipindi cha miaka 6 ya Magu, nafasi zao zimeenda wapi, si waajiriwe wote sasa nini kinachozuia wasiajiriwe?
Pili usichokielewa ni kwamba, serikali ina ceiling ya matumizi, haiwezi kua inaajiri tu kisa watu wamemaliza vyuo vikuu hata juzi Simbachawene alisema, serikali inaajiri kutokana na mahitaji na upatikanaji wa fedha. Ndio maana hata sasa hawaajiriwi wote wanaomaliza vyuo vikuu.
Hivi unafahamu vyuo vikuu na vyuo vya kati vyote nchini, private& government owned, vinatoa wahitimu kias gani Kwa mwaka kwenye soko la ajira?Una chiki binafsi tu na Magu. Magu aliajiri watu wengi tu enzi za utawala wake. Kama hukuajiriwa ni wewe ila sio kusema watu hawakuajiriwa.
Sasa kama hakuajiri miaka 6 na nafasi zilikuwepo kwa nini wasiajiriwe wote ambao walipaswa kuaniriwa kwa kipindi cha miaka 6 ya Magu, nafasi zao zimeenda wapi, si waajiriwe wote sasa nini kinachozuia wasiajiriwe?
Pili usichokielewa ni kwamba, serikali ina ceiling ya matumizi, haiwezi kua inaajiri tu kisa watu wamemaliza vyuo vikuu hata juzi Simbachawene alisema, serikali inaajiri kutokana na mahitaji na upatikanaji wa fedha. Ndio maana hata sasa hawaajiriwi wote wanaomaliza vyuo vikuu.
NomaHivi unafahamu vyuo vikuu na vyuo vya kati vyote nchini, private& government owned, vinatoa wahitimu kias gani Kwa mwaka kwenye soko la ajira?
Hongera sanaMungu ni mwema 🙏
Ahsante mkuu, vipi wewe hukuapply?Hongera sana