Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,650
- 287,411
udanganyifu na udini .
Hivi huo urais wa DMV una nini hasa? Khaaaaa!!!!!
ID nyingine zina ukakasi kweli, kama hii Nyani Ngabu
- Ndio maana niliktaaa kabisa kujihusisha na kampeni zao na nikazipiga marufuku in my blog, sasa subiri watakavyoanza kutukanana kama watoto wadogo shame on all waliohusika inasikitisha hawa ni wabongo wapo majuu sasa wakirudi bongo watattuletea nini hawa?
Le Mutuz
Inawezekana uchagzi huu ulikuwa na walakini fulani. Iwapo umefanyiks katika kikao kimoja na wapiga kuwa wakiwa ni wale walie, inakuwaje idadi ya wapiga kura kwenye nafasi ya rais ni wengi kwa kiasi kikubwa sana kuliko nafasi nyingine zote? Inaonekana kama vile kuna kura kama 18 hivi za nafasi ya mweka hazina zimehesabiwa katika weka kwenye nafasi ya rais
Mweka Hazina:
Jasmine Rubama - 379
Hapana - 15
JUMLA=394
Naibu Katibu:
Bernadetta Kaiza - 254
Solomon Cris -167
JUMLA=421
Katibu:
Saidi Mwamende - 251
Ismail Mwilima - 171
JUMLA=422
Makamu Rais:
Harriette Shangirai - 333
Salma - 94
JUMLA=427
Rais:
Iddi Sandaly - 231
Libe Mwang'ombe - 214
JUMLA=445
Hakuna cha walakini au nini. Its totally plausible wapiga kura wengine waliamua kuacha kutoa kura kwa wagombea nafasi nyingine, ndiyo maana vote tallies zimekuwa pungufu on some contestants.
Hivi kuna shetani mweupe???Na hii yangu jee
CCM Ni janga!
Can that be a justification kwa kura kuwa nyingi kuliko namba ya wapiga kura?
hakuna cha walakini au nini. Its totally plausible wapiga kura wengine waliamua kuacha kutoa kura kwa wagombea nafasi nyingine, ndiyo maana vote tallies zimekuwa pungufu on some contestants.