Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,321
- 144,749
Hivi huo urais wa DMV una nini hasa? Khaaaaa!!!!!
Last edited by a moderator:
Hivi huo urais wa DMV una nini hasa? Khaaaaa!!!!!
CCM wametia aibu sana.
Natumia simu haifunguki, taarifa nilizonazo kura ni nyingi kuliko idadi ya wapiga kura, mambo ya Ccm kubambika kura hewa wanayapeleka mpaka Marekani? hivi polisi wa Marekani hawaruhusiwi kuwatandika virungu hawa wahuni?
- Ndio maana niliktaaa kabisa kujihusisha na kampeni zao na nikazipiga marufuku in my blog, sasa subiri watakavyoanza kutukanana kama watoto wadogo shame on all waliohusika inasikitisha hawa ni wabongo wapo majuu sasa wakirudi bongo watattuletea nini hawa?
Le Mutuz

DC, Maryland, Virginia.Nini maana ya DMV??
Huu ndio unaitwa unafki unampa Iddy hongera kwa uchaguzi upi?Huyo mpuuzi aliyevaa "baragashea" alikuwa na ulazima gani wa kutukana matusi ya nguoni kana kwamba yeye hana mama? Na huko kujiita al qaeda akiwa America yeye anaona sifa. This is the kind of gutter politics and crowd that some people choose to steer away from. Manake kujichanganya na wapumbavu watoa matusi kama hawa ni upunguani. Hongera Iddy ila nakushauri usiwe karibu na watu wenye tabia chafu kama hao waliokuzunguka.
Huu ndio unaitwa unafki unampa Iddy hongera kwa uchaguzi upi?