Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

Simba angeonewa hapo! Mngeongea weee mpka asubuh!

Kwakuwa hili halina maslahi wengi wanakaa kimya tu
Nimecheka, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa waja tufanyejee? Wenye nchi yao wameshaamua. Lol
 
Wew angalau unasikilizwa hapa jukwaan!!

Na nje ya Jukwaa.....!

Ukisema Cocastic, nani asiyekujua
 
Kiongozi umefanya hata mtihani mmoja wa TRA pale??..

Usidanganyike kuwa maswali yalikuwa na mitego sana! Hakuna mitego!

Tumejiandaaga kwa muda ujue! Halafu nikwamba Kama sikuwa sahihi basi hata maelezo Yao ya Kodi hayako sahihi...

Ukiaambiwa hawajasahihisha usidhan tunawasingizia
Wengine wamepataje?
 
Mtihani ulikuwa na mitego. Kama hukuiona ndio maana unalalamikia matokeo
 
Swali la calculations ulipata jibu gani, lile la tax and duties.
Sikumbuki niliweka ngapi, but I remember it was so simple.

Baada ya calculation ya CIF, nikatafuta.. duties zile tatu na hakukuwa na shida labda wao ndo hawakuelewa swali
 
Jibu la swali umeshalisahau mwezi mmoja tu?
 
Siwezi lalamika Kama sikuona mitego kiongz

Hakuna mtego niliacha..
Mtihani nimeufanya, tuliopata kuanzia 70 sidhani kama tunafika hata 40 kati ya watu 14,000. Sijafuatilia sana sababu namba yangu ipo page ya kwanza, pages nyingine mia ngapi sina hakika wameita kuanzia alama zipi. Ila naambiwa kuna zero kama kumi hivi.

Marks nilizojua nitapata nimekosa mbili kuzifikisha, nina historia ya kuwa accurate kukadiria marks nitakazopata kama swali sina hakika sihesabii, kama sijui sijui, sina kubahatisha na nikitoka nahakiki na wale top cream kichwani.

Tuliopata alama za juu tunakwambia mtihani ulikuwa na mitego, uliyepata chache unadai mitego haikuwepo.

Na mtihani wa Customs haukuvuja, sijaona aliyekuwa anastahili akilalamika. Wanaolalamika ni wale hata tukijadili kitu hawajui, solvings wanakariri badala waelewe, wanalalamikia kutokuwa na calculation swali nyanya lile kuzidisha % za mamilioni yaliyo kamilifu. Mtu % ya 105,000,000 analalamika hana calculator.
 
Sikumbuki niliweka ngapi, but I remember it was so simple.

Baada ya calculation ya CIF, nikatafuta.. duties zile tatu na hakukuwa na shida labda wao ndo hawakuelewa swali
CIF ya lile swali uliipataje. Tuanzie hapo, usinipe actual numbers. Nipe njia uliyotumia kuipata CIF
 
Mtihani nimeufanya, tuliopata kuanzia 70 sidhani kama tunafika hata 40 kati ya watu 14,000. Sijafuatilia sana sababu namba yangu ipo page ya kwanza, pages nyingine mia ngapi sina hakika wameita kuanzia alama zipi. Ila naambiwa kuna zero kama kumi hivi.

Marks nilizojua nitapata nimekosa mbili kuzifikisha, nina historia ya kuwa accurate kukadiria marks nitakazopata kama swali sina hakika sihesabii, kama sijui sijui, sina kubahatisha na nikitoka nahakiki na wale top cream kichwani.

Tuliopata alama za juu tunakwambia mtihani ulikuwa na mitego, uliyepata chache unadai mitego haikuwepo.

Na mtihani wa Customs haukuvuja, sijaona aliyekuwa anastahili akilalamika. Wanaolalamika ni wale hata tukijadili kitu hawajui, solvings wanakariri badala waelewe, wanalalamikia kutokuwa na calculation swali nyanya lile kuzidisha % za mamilioni yaliyo kamilifu. Mtu % ya 105,000,000 analalamika hana calculator.
Aisee!!
 
Vat nilipata 23.7m kama sikosei mkuu.
Kuna sijui nini kile kingine nilipata 95m.
VAT nilipata around 20M na total taxes nilipata around 100M ila nilionyesha njia clear pembeni. Hilo swali lilikuwa na majibu tofauti sababu ya kutokuwa na calculator ukikaribisha mwanzoni baadae unapata majibu tofauti, ukitaka kufanya to decimal point huna muda, ndio maana wengi tukatofautiana.
 
Back
Top Bottom