Kwenye ile row yetu sisi watu kama watano ambao niliweza kuona karatasi zao kwa usahihi mitihani yetu ilikuwa inafanana.. yaan nilikuwa naona kabisa swali la tano kule ndio hili hili lililopo kwenye karatasi yangu.Mligelezeanaje na maswali yalichanganywa?
watu sio tu kwamba waliangaliziana, bali walikuwa wanafanya mpaka discussion kabisa.
Hapo bado sijawaongelea waliongia na simu.