ivi hiyo namba ni idadi ya walio appeal au ni reference number tuKaribu TRA huduma kwa wateja. Ombi lako limesajiliwa kwa tiketi namba 37963.
Tumelipokea na tunalifanyia kazi.
Walijibu hivyo 👆👆👆
Hamna kitu kama hicho ni huruma Yao tu hapoHivi watasahihisha upya kweli?
Nadhani ni reference number tu,watu wengi walikata tamaa hawaku appeal na wengine hawajui kama kulikua na kuappeal.ivi hiyo namba ni idadi ya walio appeal au ni reference number tu
Kuna ile wanajibu kuwa tayari email yako tumeipokea na namba ya response yako ni 226611Wewe umejibiwa nini mwenzetu?
Kweny lile Tangazo lao la mwanzo walisema Oral kuanzia tarehe 7 mpka 09 sijui Kama wamebadilishaHivi ni tarehe 7 au 11?
Kuna mtu kajibiwa email mbili ya kiswahili na English sasa sjajua hapo.Kuna ile wanajibu kuwa tayari email yako tumeipokea na namba ya response yako ni 226611
Labda Kama wamebadilisha! Lakn waliandika tarehe 07 mpaka tareh 09Oral ni
12,13 na 14
Daah! Backup kuipata! Ndo ishuWatajibu tu mbona written zile appeal walijibu japo jitahidi uwe na back up kidogo ili kutoboa japo lolote linaweza kutokea.
Uko vzurKaribu TRA huduma kwa wateja. Ombi lako limesajiliwa kwa tiketi namba 37963.
Tumelipokea na tunalifanyia kazi.
Walijibu hivyo 👆👆👆
Namba tofauti, Kam namb ni moja tu asubir!Kuna mtu kajibiwa email mbili ya kiswahili na English sasa sjajua hapo.
Kweny kusahihisha sizaniHivi watasahihisha upya kweli?
Reference tuuivi hiyo namba ni idadi ya walio appeal au ni reference number tu
Tusubir huruma Yao kwakweliHamna kitu kama hicho ni huruma Yao tu hapo
Hata mim nazani ni hvyoNadhani ni reference number tu,watu wengi walikata tamaa hawaku appeal na wengine hawajui kama kulikua na kuappeal.
Yule jamaa anaharibu nchi na vijana wengi! Lakn serikali nikama inampuuzia huyu jamaaHiyo ndo bongo endeleeni tu kuwa bize na kina mwijaku na mambo yao ya kipumbavu insta huko