- Thread starter
- #241
Hongera kwaoNdio
Hongera kwaoNdio
Mkuu hujaitwa na wewHongera kwao
Umebahatika kuitwa
Bado email zinaingia watajbu tu hata uck wa mananeMkuu hujaitwa na wew
Hapan kaka sijaitwa mpka sasa, am still waitingMkuu hujaitwa na wew
May be let's waitBado email zinaingia watajbu tu hata uck wa manane
Bt ikifka kesho bado empty nashaur upge cm huduma kwa watejaMay be let's wait
Asante dada winiBt ikifka kesho bado empty nashaur upge cm huduma kwa wateja
Ajira za serikali sio dili sana bas tuKuna kipindi nilifanya hizi paper,written nikapita,practical nilipita inshu ikaja kwenye oral,nafasi 5 watahiniwa 10,tukaambiwa kwenye hizo 5,2 za wadada na hapo kuna wadada 3,wakabakia masela 8 nafasi 3,mimi nilikosa ila nilipata Kazi kwa mmoja aliepata huku,hvyo nikaenda pata alipotokea yeye.,
Memo ilikua ya gender balance na siuwezo
Kwan bado hujapata email mpka sasa???Asante dada wini
Nafikiri ikipita leo mtu hajapata email ndo kaaga mashindano tayariKwan bado hujapata email mpka sasa???
Yap nahc hvo piaNafikiri ikipita leo mtu hajapata email ndo kaaga mashindano tayari
Mkuu ni lini matokeo ya mtihani wowote Tanzania hii yakapungua idadi kadri unavyoshuka marks za chini?Hukunielewa mi nimeangalia angel nyingi si hio ya idadi pekeake!
Lakn kweny idadi pia imeonekana kadiri flow inavyozid ndo idadi ya wanaofanana maksi inazid wakati kiuhalisia ni randomly selection!
Hio ukiichunguza sio randomly selection!! Ni Linear selection.
Unaenda inaongezeka kwa kushuka alama
Yaani hata ya kusema kwamba tumekukataa sijaipataKwan bado hujapata email mpka sasa???
Hahahaha mbombongafuYaani hata ya kusema kwamba tumekukataa sijaipata
Mi nilichokiwaza sicho unachowaza! Niliingia ndani ya Matokeo nikafany utafiti wangu binafsi na majibu nimekupaMkuu ni lini matokeo ya mtihani wowote Tanzania hii yakapungua idadi kadri unavyoshuka marks za chini?
Ni lini Div. 4 iliwahi kuwa na watu wachache kuliko Div. 1 au Div. 2 ikawa na watu wengi kuliko Div. 3?
Ili kwako isiwe ajabu, ulitaka hiyo unayoita linear selection iwe ni wenye marks nyingi ni wengi na wenye marks chache ni wengi?
Tuanzie hapa, unajua lengo la mtihani ni nini hasa unaokuwa unapima watu wenye vigezo sawa?
Kawaida tuu tumeshazoea!! Na hivi magenous wengi tupo nao mtaani ni tunaenjoy maisha!!...Hahahaha mbombongafu
Nilikuuliza maswali unayokwepa.Mi nilichokiwaza sicho unachowaza! Niliingia ndani ya Matokeo nikafany utafiti wangu binafsi na majibu nimekupa
Hilo na maksi nimelitazama kwa upana sijajifungia ndani ya Hilo boksi lako la kwamba kwakuwa watu wamefeli basi NO one care about them!
Yes we think differently, nipo hapa nasubiria hiyo statistical scenario yako ambapo watu 14,000 watatofautiana marks ambazo ni 0% to 100% na pia wawe sawa kila group, wenye 10s wawe sawa na wenye 20s, 30s, .... 90s.Nimeya analyse nilichokigundua ndicho hicho! Mi najua palipo na binadamu hakuna dizain ya hayo matokeo..
Kama umesoma tabia za binadamu! Hayupo hivyo.. there is no way watu wakawa na matokeo ya aina hio. Because we think differently and we see things differently.
Mtihani umefanyia wapi, nimefanya APC na nimeshuhudia watu wametoka Nairobi kikazi, watu wamejifungua hata hawajaweza kutembea vizuri, watu wametoka Mwanza private sector wanabanwa vibaya mno kazini hawajui hata topics za kupitia wamekuja kujaribu bahati.Hakuna namna yote yakawa leaner yanaongezeka forward! Lazima hapo katikati watatokeo waliopata kadhaa wachache but not that way.
Kwamba kati ya watu 800 wote ina maana kila mtu ana connection sijui amenunua nafasi. Na unachomaanisha wewe una akili sana hivyo hukustahili kutoitwa? Kwamba waliopita ni vilaza tu ila wewe babkubwa wamekuonea kukuacha.Think critical! Don't defend it kwakuwa umepangiwa au tayar una kazi, au labda wew ni mfanyakaz au my b you have deep believe in them..
Walichofanya ni scramble and partition (kuwagawanya tuu! Watoto wamaskini kidogo, na watoto wa matajiri wengi)
Kwa mfano mkuu wewe unaamini una akili sana alafu mimi ni kilaza?Ili mtu akilalamika ataambiwa "mbona flani kaitwa, itakuwa umefeli kweli"
That what always their doing..
Wanawaacha watu smart sana mtaani wanachagua vilaza.
Tatizo lako ni kudhani una akili sana. You are not special my brother, na hii nchi ina watu wengi hata uwe na akili hauko peke yako. TRA haiwezi lia kisa Addons hajaitwa Oral. Jipange tena nafasi zitatajwa kazi haziishi, mbona kuna watu wameenda Oral mara mbili hawajaitwa sasa ungekuwa wewe si ungevamia ofisi na kujilipua.They will cry one day
Nyie ni watu wazima yaishe Jamani....ukurusa wa TRA thc year ushafungwa tusubr next time tuNilikuuliza maswali unayokwepa.
Waliofanya mtihani ni 14,000+ na marks zinazoshindaniwa ni 100%. Tengeneza scenario ambayo kila mtu atapata marks za kwake peke yake. Unaweza?
Au kama vipi nakuuliza tena, je unataka wenye zero wawe 140, wenye 1 wawe 140, wenye 2 wawe 140 hivyo hivyo mpaka wenye 100 wawe 140?
Matokeo yako ya Form Four na Form 6 yalikuwaje, mlikuwa na idadi sawa kila Division? Uliwahi lalamika kwanini Div.1 ni chache ila Div. 4 ni nyingi?
Yes we think differently, nipo hapa nasubiria hiyo statistical scenario yako ambapo watu 14,000 watatofautiana marks ambazo ni 0% to 100% na pia wawe sawa kila group, wenye 10s wawe sawa na wenye 20s, 30s, .... 90s.
Mtihani umefanyia wapi, nimefanya APC na nimeshuhudia watu wametoka Nairobi kikazi, watu wamejifungua hata hawajaweza kutembea vizuri, watu wametoka Mwanza private sector wanabanwa vibaya mno kazini hawajui hata topics za kupitia wamekuja kujaribu bahati.
Mtu anafanya kazi kampuni ya Logistics anafanya overtime kila siku anatoka saa nne usiku, hajawahi soma hata siku moja.
Mtu yupo anasubiri kuingia venue anapigiwa simu za kazi na anarespond. Do you expect hawa wote wapate marks sawa na wewe?
Kwamba kati ya watu 800 wote ina maana kila mtu ana connection sijui amenunua nafasi. Na unachomaanisha wewe una akili sana hivyo hukustahili kutoitwa? Kwamba waliopita ni vilaza tu ila wewe babkubwa wamekuonea kukuacha.
Kwa mfano mkuu wewe unaamini una akili sana alafu mimi ni kilaza?
Hata kwa mwandiko, ujenzi wa hoja, mada tunazochangia humu jukwaani.
Tatizo lako ni kudhani una akili sana. You are not special my brother, na hii nchi ina watu wengi hata uwe na akili hauko peke yako. TRA haiwezi lia kisa Addons hajaitwa Oral. Jipange tena nafasi zitatajwa kazi haziishi, mbona kuna watu wameenda Oral mara mbili hawajaitwa sasa ungekuwa wewe si ungevamia ofisi na kujilipua.