Naweza nisiende, au nikienda nisipate ila hoja zako zote ukizichunguza vizuri hazina uzito.
Mosi, unataka marks zisifanane. Nimekuomba tengeneza scenario ya watu 14,000 kupata marks zisizofanana kati ya marks 100 umeshindwa. That means hata wewe ungekuwa unaendesha zoezi ungeshindwa kuhakikisha kila mtu ana marks zake peke yake.
Yaani unataka kwenye mtihani wa NECTA Form Four, watahiniwa wakiwa jumla milioni moja, basi wenye Div.1 wawe 250k, wenye Div.2 wawe 250k, wenye Div.3 wawe 250k na Div.4 wawe 250k kisha wasiwepo wenye 0 sababu mtihani ulionekana sio mgumu.