antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,886
- 121,034
Siyo kweli.. ndivyo madume yaliumbwa, siyo ya binadamu tu Bali almost viumbe wote..Lakini kwanini vijana wengi wa kitanzania akili zetu zinajikita sana kwenye kuwaza ngono, ni elimu duni, kukosa kazi au ufinyu wa akili zetu tu.
Mfano, angalia kuku wa kienyeji wakifunguliwa asubuhi, jogoo anakimbilia chakula au mbususu?
We hujaona hata watumishi wa Imani na mbususu ni kama tu uji na mgonjwa?!
Pia, elimu duni unaisingizia bure.. Hujasikia maprofesa wanavyo pasisha vilaza sababu ya mgegedo?!
Kuna sababu mbili tu zinafanya mwanaume akose interest ya mbususu, afya dhaifu na uchumi mbaya..
Nje ya hapo, hata wataalamu wanasema:
"...the number 1 need of a male is sex"
Cheki hii video..