Ni kwanini idadi inaongezeka ya wanaume kukimbia ndoa zao na kuwachia wanawake mali zote kisha kuanza upya

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Huu mjadala ambao nimeusikia redioni Nikiwa ndani ya daladala ambapo Kuna utafiti ulikuwa unajadiliwa ambapo unanyeesha wanaume wengi waliooa kuanzia miaka ya 2014 hadi 2022

Asilimia 80 wamekimbia ndoa zao na kwenda kuanza upya hivyo kumwachia mwanamke Mali zote .....

Je, tatizo ni nini mpka idadi hiii inaongezeka wanaume kukimbia ndoa na kuwachia wanawake Mali
 
Kazi ya tamthilia hio wanawake wao wanapaste KILA kitu wakionacho kwenye hizi tamthilia ambazo zote ajenda kuu ni kubomoa ndoa. Zinawaingizia roho ya Lilith.
Roho ya usawa wa kuikataa asili.
Hakuna gari inayoweza endeshwa na madereva wawili lazima mmoja atashukia njia. Wanaume uona bora kuepuka shali. Huyo ni mzazi mwenza mnafamilia mna watoto unawaachia. Unaenda anza upya kuinusuru roho YAKO Ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kisukari, kupooza nk.
Mwanamke akishakosa utii Hakuna ndoa hapo.
 
Unagundua unalishwa madawa ili uwe zezeta, mamkwe na mashost wamekuwa madairekta wa mkeo wanampa mbinu akumalize sasa unajikuta huna mda wa kutatua hayo kabla madawa hayajakukolea hivyo unapiga hesabu ya mali zenyewe, unagundua ni vitu vya ndani navyo vimechakaa unaona havina ishu unamwachia uponeshe afya ya akili
 
Unagundua unalishwa madawa ili uwe zezeta, mamkwe na mashost wamekuwa madairekta wa mkeo wanampa mbinu akumalize sasa unajikuta huna mda wa kutatua hayo kabla madawa hayajakukolea hivyo unapiga hesabu ya mali zenyewe, unagundua ni vitu vya ndani navyo vimechakaa unaona havina ishu unamwachia uponeshe afya ya akili
Na njia hii haina lawama wala kelele za kuzunguka mahakamani kugawana, mali zenyewe kichekesho
 
Upo umri wa kuishi na mwanamke.
Oa mapema zaa mapema. Ukifika kuanzia miaka 50 kuendelea,na Ukiona haeleweki hana utii, yaani tayari shetani ashamvaa, usishindane nae utakufa mapema kwa maradhi ya sonona, we tafuta Shamba jenga mji wako weka mifugo YAKO bustani zako kaa tulia kula za pesa zako za kustaafu wao waache mjini.
Ukishindana nao utakufa mapema kwa magonjwa ya tabia mbovu tokana na malezi mabovu.
Mwenye hamu na wewe akufate shamba anasalimia akitosheka arudi mjini.
 
FB_IMG_16730876117946524.jpg
 
Back
Top Bottom