Matokeo ya Sensa yametoka rasmi, idadi ya wanawake ni kubwa kuzidi wanaume, kwanini ugegede mke wa mtu?

Lakini kwanini vijana wengi wa kitanzania akili zetu zinajikita sana kwenye kuwaza ngono, ni elimu duni, kukosa kazi au ufinyu wa akili zetu tu.
Siyo kweli.. ndivyo madume yaliumbwa, siyo ya binadamu tu Bali almost viumbe wote..

Mfano, angalia kuku wa kienyeji wakifunguliwa asubuhi, jogoo anakimbilia chakula au mbususu?

We hujaona hata watumishi wa Imani na mbususu ni kama tu uji na mgonjwa?!

Pia, elimu duni unaisingizia bure.. Hujasikia maprofesa wanavyo pasisha vilaza sababu ya mgegedo?!

Kuna sababu mbili tu zinafanya mwanaume akose interest ya mbususu, afya dhaifu na uchumi mbaya..

Nje ya hapo, hata wataalamu wanasema:
"...the number 1 need of a male is sex"
Cheki hii video..

Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa ambao hawaoi kabisa kwa nadhiri zao za kitawa, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenza wao, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri ndio waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.

Updates:
SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120 ambapo Wanawake ni 31,687,990 na Wanaume ni 30,053,130

Dar es Salaam inaoongoza kwa idadi kubwa ikiwa na Watu 5,383,728, ikifuatiwa na Mwanza wenye Watu 3,699,872

Soma Breaking News: - Rais Samia: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

#Sensa2022
IMG-20221031-WA0154.jpg
 
Mnataka kuongezea watu stress baada ya tozo.
🤣🤣🤣🤣Sasa tufanyeje mkuu tukiacha huu utaratibu wa kuchagua bado wapo ambao hawatachaguliwa na wanaume, na wengine pewa momba na kuachwa bora tuichie serikali itupangie Kwa virungu na mtutu Ili kubalansi
 
Nashauri serikali itoe tamko rasmi la wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja.. Hii ifanywe sheria na ipitishwe na bunge halafu iingizwe kwenye katiba mpya
BTW wizard ya afya na wale makungwi kwenye ndoa waanze kuwafundisha watu namna ya kupata watoto wa kiume
Mbona me naona wanawake ni wachache sana.
Hao wanawake wengi ni wazee na watoto
Age ya kugegedwa sii wengi
Ila wanaume wengi ni vijana wazee na watoto ni wachache
Imekula kwenu oooh
 
Ni hivi punde tu Rais Samia mama la mama ametangaza rasmi matokeo ya sensa tupo million 60 plus na wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, na hapo kwenye wanaume kuna idadi kubwa ya walioleft group yani wasenge na wapo pia watawa ambao hawaoi kabisa kwa nadhiri zao za kitawa, idadi ya wanaume hapo inapunguwa zaidi.

Sasa hoja yangu kwako wewe mwanaume kwa takwimu hizi ni kwa nini utembee na Mke wa mtu?

Na wewe mwanamke usiyekuwa na heshima, umeolewa tulia na mume wako ulikubali kuolewa naye huyo ndio chaguo lako, waachie nafasi wanawake wenzako waliopo single ili nao wapate wenza wao, binadamu msipoacha ubinafsi itabidi wanaume wenye uchumi mzuri ndio waowe Mke zaidi ya mmoja ili tuwastiri Dada zetu.

Kataa kumvulia chupi mume wa mtu Sasa, na mwanaume acha kugegeda wake za watu, there are plenty of beautiful single woman/ Ladies are waiting for you.

Tubadirike Sasa.

Updates:
SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120 ambapo Wanawake ni 31,687,990 na Wanaume ni 30,053,130

Dar es Salaam inaoongoza kwa idadi kubwa ikiwa na Watu 5,383,728, ikifuatiwa na Mwanza wenye Watu 3,699,872

Soma Breaking News: - Rais Samia: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

#Sensa2022
Hao wanawake wote ambao ni wengi wote wamefikia umri wa kuliwa? Au mnataka tu kuwapa kesi vijana wa watu?
 
Kwanini hayo matokeo hayakusambazwa kwa link ama wasap ama telegram kila mtanzania ayapate??

Wanafanya mambo ya mwaka 93 enzi nazaliwa, habari hadi mnunue gazeti.

Watoe pdf za hayo matokeo watu tuone

Na kwanini hakuna takwimu za kimanispaa ama kiwilaya hadi sasa
 
Sasa hao wanawake waliobak Hapo juu sio ndio masingo Maza wenyewe, au hiyo Sheria ikipitishwa hakuna kuchagua, shape, rangi, au tako, mmoja anakuwa wa chaguo lako wa pili serikali inakupangia, awe singo Maza wa watoto watatu Kila mtoto na baba yake sukumia ndani
 
Back
Top Bottom