Matokeo ya NBAA yametoka

Matokeo ya NBAA yametoka

MaToKeo Ni MazUri nImeOna leo. TUmShuKurU Mungu SaNa. KamA yA kWako uJayaOna kUwa Na iMani kESho yataKuwa kwEne site.

na wewe unatarajia kufaulu huo mtihani kweli kama tu hata kuandika hujui?
 
Hongereni sana mlio pasua. Karibuni pia kwenye fani, kuipata ni jambo moja kubwa ni kuifanyia kazi kwa faida yako, familia yako na taifa lako. Mtaanza kama Graduate Accountants for 3yrs (GA), then ACPA (Associate Certified Public Accountant) for at least 3yrs then FCPA (Fellow Certified Public Account) though it is not outomatic .. Vigezo na masharti kuzingatiwa ...
 
Intermediate stage wameanguka vibaya sana, final stage wao wamepiga fresh cheers to em' all
 
Mambo ya nbaa hayo
 

Attachments

  • 1421332914160.jpg
    1421332914160.jpg
    41.8 KB · Views: 364
WAdau Wa JukWaa naPendA kUwAkarIbiSha mmNipe Hongerq kwakuaaa niMefaNikiwa kUpaTa C.P.A bAadAya maTokeOyaLeo kuTokA viZuri.
Napokea zawadi kupitia TiGopEsa na mPesa. Ni pM kAma UnamoYo wAkuNiponGeza.

Hongera rafiki yangu, nami Leo ni mmoja waliopata CPA kwa Matokeo yaliyotoka Leo....
 
Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye mbao za matangazo NBAA na matokeo kamili yatakuwa yamewekwa kwenye web kufikia kesho asubuhi.Hongereni kwa mliofaulu na wale ambao hamjafaulu msikate tamaa.

Nawasilisha

Ahsante ndugu, nimeona kwenye web nami ni mmoja wao waliopata CPA
 
Thanks God kwa kumaliza hii shule ya CPA....now sasa naweza kujiita na me ni Accountant(CPA T).
 
Jamani alieweza kudownload matokeo ya intermediate level please upload the file maana sasa hivi inakataa kudownload from NBAA website
 
Back
Top Bottom