Matokeo ya CPA kwa mitihani ya Mei 2016 yametoka

kwanini hayo matokeo ni mabaya sana kwa Intermediate stage na Final stage?
 
Siku hizi ufaulu wa CPA(T) umeongezeka. Idadi inafika mpaka 280+ kwa awamu moja ya mtihani, kitu ambacho hakikuwepo zamani. Je, ni NBAA wamerahisisha mitihani au vijana wanasoma wanasoma sana?. Congratulation kwa waliofaulu.
Wamerahisha kiana,hata masharti ya kufaulu yamebadilika, somo moja unarecord/ umefaulu
 
Karibu kwenye familia ya wahasibu.....ufanye ujue kazi kujenga heshima ya CPA T.
 
Siku hizi ufaulu wa CPA(T) umeongezeka. Idadi inafika mpaka 280+ kwa awamu moja ya mtihani, kitu ambacho hakikuwepo zamani. Je, ni NBAA wamerahisisha mitihani au vijana wanasoma wanasoma sana?. Congratulation kwa waliofaulu.
Hakuna cha urahisi wala nini hao 280+, umejumlisha na waliobeba vimeo vyao hata kwa miaka 2 nyuma huko ndo wamefanikiwa kuvichomoa kwenye paper ya mwezi wa 5
 
ImageUploadedByJamiiForums1467625373.358961.jpg
 
Back
Top Bottom