tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
cpa imekuwa uchocholo kila mtu anabeba
hiyo Ni kweli kabisa,siku hizi Kuna maswali ya kuchagua
cpa imekuwa uchocholo kila mtu anabeba
MaToKeo Ni MazUri nImeOna leo. TUmShuKurU Mungu SaNa. KamA yA kWako uJayaOna kUwa Na iMani kESho yataKuwa kwEne site.
UkiWanaKaMpuni utAJUANI NN
click here: Bodi ya wahasibu N.B.A.A mnatutia aibu kimataifa, badilikeni sasaJamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna .
asante.