Matokeo ya leo simba 0 bunamwaya 3 ;simba out

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi kocha mkuu atakuja na kisingizio cha majeruhi
na kuwakosa baadhi ya wachezaji
sipendi kukwambia usiende uwanjani la hasha ni bora uamini kama MUNGU yupo kuliko usipoamini na kumkuta
siku ya mwisho
kila la kheri ndugu zanguni
 
May be! Kwani mipira ya kibongo huchezwa zaidi kwenye vyombo vya habari kuliko kwenye pitch.
 
Thubutu, Cecafa watafanya kila njia yanga na Simba wakutane kwa ajili ya mshiko mkubwa.
 
Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi kocha mkuu atakuja na kisingizio cha majeruhi
na kuwakosa baadhi ya wachezaji
sipendi kukwambia usiende uwanjani la hasha ni bora uamini kama MUNGU yupo kuliko usipoamini na kumkuta
siku ya mwisho
kila la kheri ndugu zanguni

Ushindwe na ulegee!
 
Kwani si Sheikh yahaya alishakufa....au uliachiwa kidogo
 
naomba tuendelee kuwa wote nami naelekea mpirani muda si mrefukuona aibu yandugu zetu
 
Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi kocha mkuu atakuja na kisingizio cha majeruhi
na kuwakosa baadhi ya wachezaji
sipendi kukwambia usiende uwanjani la hasha ni bora uamini kama MUNGU yupo kuliko usipoamini na kumkuta
siku ya mwisho
kila la kheri ndugu zanguni

Umenistua sana karib pressure ipande.

Hakika kikweli kabisaaaaaa SIMBA itacheza Fainali.

Kila la kheir Simba
 
Wataweka mpira kwapani!! Simba 0 - Bunamwaya 3, simba warudi kariakoo kunywa kahawa usiku usiku.
 
Endeleeni kutupa habari muendao viwanjani na yeyote atakae pata taarifa
 
Pengine unaweza jiuliza vigezo gani iweje unatuletea matokeo haya anyway
si mbaya kukupa ukwelileo simba anafungwa aijalishi mangapi hayo uliyoyaona ni minimum
tu kwa bahati mbaya baada ya mechi kocha mkuu atakuja na kisingizio cha majeruhi
na kuwakosa baadhi ya wachezaji
sipendi kukwambia usiende uwanjani la hasha ni bora uamini kama MUNGU yupo kuliko usipoamini na kumkuta
siku ya mwisho
kila la kheri ndugu zanguni

Mkuu mbona hujaleta matokeo?? Limekushuka Babu.... mtu mzima ovyooooooooooooo.... nani alikudanganya Simba akinyeshewa anakuwa Paka?? Nyambafuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom