Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

Sisi mainjinia hatuna hayo mambo ya ku kremu na kupewa test ndio usajiliwe....

Tuko ki vitendo zaidi, fanya projects zinahakikiwa zikikizi vigezo na kutimia idadi Unakua professional engineer, simple as that!!

Poleni mawakili...
Nikajua hio fani inalipa hatariii ila cha ajabu naona ma Engineer mnashindaga humu jf mkitetea FOREX ya bwn Ontario hahah
 
Mkuu kiukweli sina soft copies ila kwa Conveyancing ukiwa na manual ya Mramba umemaliza...
Accounting for lawyers sipo interested nayo ila nilionaga pale Law Africa shop kuna vitabu vizuri vya Accounting for lawyers...

Pro conduct na ethics naona wanapendekeza usome kile cha Judge Twaib ila mimi binafsi nakushauri soma hichi cha THE IDEAL LAWYER cha AMBROSE OTIENO WEDA, Esq naona ni kizuri zaidi kushinda cha Judge Twaibu ila either way u cant go wrong....

Vitabu vyote ivo vinapatikana duka la Law Africa Tanzania pale Dar Free Market kama upo dar nenda pale wanauza bei nzuri kushinda maduka mengine mana wale ndo publishers
Nina kijana wangu hajafanya vizuri katika masomo hayo! Nimsaidieje?
 
sisi kule hatusomi ili tuufanye huo mtihani, kama school of law, hapana, mtihani wa phc,concl, huwa unatoka popote pale kuanzia mlipoanza kusoma 1st yr mpaka 4, sasa ili kuufaulu huu inabidi uwe vzuri,
Aah sawa sawa iyo ni ngumu zaidi naifananisha na Oral ya Law School mana ni kama kile waumini wa kikristo wanachosema kua

"salini sana maana hamjui SIKU wala SAA"
 
Mkuu inawezekana kweli walikua serious...

Sema katika elimu kuna kitu kinaitwa "msuli tembo matokeo sisimizi"
we jamaa umenifurahisha sana na comment zako, ila mahali pa kipekee ulipopatia sana ni kujuwa kuwa lawyer ni kitu inborn talent. kimsingi law ilitakiwa kusomewa na watu wachache na wenye talent kweli ambayo MUNGU kaiweka ndani yao. yaani hata huwe na muhuri ila kama hauna kitu cha ziada ambacho mpaji ni MUNGU pekee itakupa taabu sana kiasi hata cha familia kukosa ukaribu wako maana muda wote itabidi ujifungie library. kuna wakati hata hauitaji kufanya cross examination coz opponent ajaleta ushaidi wenye nguvu sasa kisa nafasi ipo unafanya cross examination unatoa room kwa opponent ku cure mapungufu yao kwenye re examination. nitaenda law school kuongeza nilichokikosa undergrauduate lakini ukweli ni kwamba fani imevamiwa, madudu yanayofanyika undergraduate yanareflect matokeo huko law school, uhuni sana huku chini
 
we jamaa umenifurahisha sana na comment zako, ila mahali pa kipekee ulipopatia sana ni kujuwa kuwa lawyer ni kitu inborn talent. kimsingi law ilitakiwa kusomewa na watu wachache na wenye talent kweli ambayo MUNGU kaiweka ndani yao. yaani hata huwe na muhuri ila kama hauna kitu cha ziada ambacho mpaji ni MUNGU pekee itakupa taabu sana kiasi hata cha familia kukosa ukaribu wako maana muda wote itabidi ujifungie library. kuna wakati hata hauitaji kufanya cross examination coz opponent ajaleta ushaidi wenye nguvu sasa kisa nafasi ipo unafanya cross examination unatoa room kwa opponent ku cure mapungufu yao kwenye re examination. nitaenda law school kuongeza nilichokikosa undergrauduate lakini ukweli ni kwamba fani imevamiwa, madudu yanayofanyika undergraduate yanareflect matokeo huko law school, uhuni sana huku chini
Haha mkuu fani nyingi zimevamiwa sana sio Law tu hizi fani zilizokua zinaonekana "zina hela au zibalipa" kama Medicine, Law na Engineering zimevamiwa sana...vilaza wengi sana humo ndo mana mahospitalin kuskia ndugu wa mgonjwa wamepiga Dr kisa kaua mgonjwa kizembe ni kawaida.... ghorofa lina expansion joints za kutosha au limeporomoka ni kawaida siku izi..

fani kama uhasibu zimevamiwa pi sema kwakua hazi affect pipo directly ndo mana vilio sio vingi kama kwenye fani izo nyingine...

Ila kiukweli Law is not for everyone....ni kipaji kama vipaji vingine na sio just kwenda shule na kutoka na A's kibao...

Kama ulivosema sio lazima kufanya cross-E mana kuna rule moja inasema
"dont ask the questions which you dont know the answers"....sasa unakuta bush lawyer kakazania kuuliza maswali ambayo hajui majibu yake ili mradi aonekane yupo kumbe anajikuta anampa faida opponent na hasara kwake na kwa mteja...

Unakuta bush lawyer kashika list ya maswali kwenye paper halafu anauliza moja moja...yani mpaka inabidi ucheke....sasa kama umekaa na mteja wako ukaisoma kesi vizuri ukajua facts za kesi in n out ukamjua yule shahidi ndani na nje kupitia mteja wako huitaji kushika list ya maswali na kuanza kuuliza kama unasoma risala mbele ya mgeni rasmi....inakera sana

Mkuu nenda Law School umalize ukaokoe jahazi binafsi bado nausoma mchezo kabla sijaingia
 
Pale Law school lazima usome...ni Programme nzuri sana na mhimu inaivisha watu hasa wanasheria ukitaka uive vzr baada ya Degree soma pale..lakini usome kweli kweli sio ujanja ujanja wa kibongo mkipigwa mnakimbia mitandaoni kulia lia...hawa watoto wa leo hawasomi wanachat tu na misimu yao sasa wakipigwa wanawahi mtandaoni ...Hata hao Law school wakikufaulisha ujue kabisa ukiingia mahakamani Bila ujuzi utalia mchozi utapigwa PO mpaka wakili wa upande wa pili akuhurumie..Sheria lazima usome ujue procedure its a science no short cut
sheria ni kukariri bwana
 
sheria ni kukariri bwana
Wanasheria wanafundishwa kuTAFSIRI sheria ndugu sasa Tanzania kuna Chapter zaidi ya 500 za sheria utakariri sheria zote izo??

Si utakua na kichwa kama cha Profesa Lipumba au Dokta Pombe wa Chato alikariri hadi akapata PhD ya kubangua maganda ya korosho??
 
Back
Top Bottom