Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

Hayo masomo ya lawa school si wangeweka kwenye mitaala ya huko vyuoni. Au ndo mrija wa ulaji???
 
Hivi vijiprofesa uchwara vinatia huruma teh teh...

Hizi fikra za kubinya ufaulu wa wanafunzi huwa wanazitoa wapi?? I mean kuna malengo gani hasa ya kuzuia watu wafaulu???

Ni fikra mgando? ulimbukeni? ulafi wa elimu? ushamba? au a long term and calculated agenda??

22 out of 500 ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa... katu katu!!

Watu 500 haiwezekani wawe hawana ufahamu wa kuelewa Criminal Law!!!

Noo!!!!!!!
Mkuu pale hakuna profesa alikuepoge mmoja wa udsm majamba kwa jina wengine wote walikua wa kawaida tu...

Ivi inakuingia akilini kua mwanafunzi aliyedisco ni yule aliyepata F 15 katika masomo matano ya core kati ya 7 nafikiri....sasa kweli walimu watano wote wawe na nia na ya kumpa mwanafunzi mmoja jumla ya F 15???.?

Yani ni sawa na mwanafunzi wa form 4 kapata div zero yani kapata F 7 halafu useme eti necta wamembania??

Haiingii akilini
 
Halafu nyie mnaolalamika hivi ndo wale mnakutana na mabush lawyer wanawaharibia kesi zenu mnakuja kulia lia wanasheria hawana kitu....

Law is not for every one ndo mana kukawa na Sociology mkuu...
 
Mkuu pale hakuna profesa alikuepoge mmoja wa udsm majamba kwa jina wengine wote walikua wa kawaida tu...

Ivi inakuingia akilini kua mwanafunzi aliyedisco ni yule aliyepata F 15 katika masomo matano ya core kati ya 7 nafikiri....sasa kweli walimu watano wote wawe na nia na ya kumpa mwanafunzi mmoja jumla ya F 15???.?

Yani ni sawa na mwanafunzi wa form 4 kapata div zero yani kapata F 7 halafu useme eti necta wamembania??

Haiingii akilini

Ninachojua ni kuwa mwanafunzi anafaulu au kufeli kwa average score, yaani wastani wa mitihani mitatu ya somo moja lenye mitihani mitatu na oral, sasa si lazima ufaulu components zote ndio maana ukiangalia matokeo ya mtu unaweza ona kwenye component ya somo fulani ana F lakini final grade amefaulu hilo somo, hii inamaanisha kuwa pamoja na kufeli labda component moja lakini wastani wake unaotokana na components nyingine alizofaulu ulikuwa ni mzuri. Utaratibu huu unasaidia sana maana ingekuwa ni lazima ufaulu mitihani yote sijui kama kuna ambaye angekuwa anatoka salama.
 
Huo ni ukweli tusiubeze kwani kuwa mwanasheria sio lelemama aisee hatutaki profesorior rubbish
Kuwa mtetezi Wa haki unapaswa kuwa @Mubobevu na sio vinginevyo soo wajipange wahusika ndio maana ukisikia lissu Ana kesi mahakamani hata mawakili wasomi wanaikimbilia kuwa wadhamini maana wanajijua wao walivo Bobezi au Nguli
Mwanasheria wetu msomi Peter kibatala atatusaidia kulisemea hili
 
Mkuu hujaelewa unaweza kua na sapu 15 lakini hujadisco sijui kama unatambua ilo swala?

Ila naongelea ile disco ya full suit yani F tatu kwa masomo 5 core jumla 15 fs sasa we si kilaza wa hali ya juu ya upate 15 Fs hata kama hujahudhuria darasani kila kipindi kwa knowlegde ya law uliyopata undergraduate huezi kupata 15 fs hadi udisco....tatizo watu wanalazimisha fani ndo tatizo..

Ndo mana kuna course nyingi sio lazima wote tuimbe wengine mnaweza kupiga marimba na mkasikika pia!
 
kweli kabisa watu wanalzmishia uanasheria,fanyeni mengine
 
Huo ni ukweli tusiubeze kwani kuwa mwanasheria sio lelemama aisee hatutaki profesorior rubbish
Kuwa mtetezi Wa haki unapaswa kuwa @Mubobevu na sio vinginevyo soo wajipange wahusika ndio maana ukisikia lissu Ana kesi mahakamani hata mawakili wasomi wanaikimbilia kuwa wadhamini maana wanajijua wao walivo Bobezi au Nguli
Mwanasheria wetu msomi Peter kibatala atatusaidia kulisemea hili
Hujaeleweka. Jipande. Andaa hoja za msingi.

Kua mwanasheria ni kitu rahisi kama kumsukuma mlevi kama umezaliwa kua mwanasheria...hicho ni kipaji kama vipaji vingine tatizo wengi wenu mnaenda kwenye sheria kwa sababu mpate ajira na hela za haraka haraka za kugonga mihuri ila kiukweli ni watupu sana kichwani..

Uanasheria ni kipaji kama vipaji vingine mjomba.

Btw Unaweza kuthibitisha kauli yako Peter Kibatala ni mwanasheria nguli? Unguli wake unatokana na nini hasa yani?

Hivi unajua George Masaju ameteuliwa kua Judge?? Nafikri kashaapishwa ni judge sasa hivi... ila kumbuka na Chipeta RIP alikuaga judge...so wote hao ni majudge ila TOFAUTI yao ni kubwa sana....

So Law is not just for everyone mjomba...
 
kweli kabisa watu wanalzmishia uanasheria,fanyeni mengine
Tatizo wengi wanakaririshwa kuna hela kwenye sheria ndo mana unakuta wengi ni vilaza yani janja janja nyingi sana...

Nilikua napataga sifa za Mebere Marando kua ni wakili mzuri blah blah yani siku nipo kisutu pale alikua na case moja ya criminal yani kulikua na janja janja nyingi sana yani ni mtupu bana wale ndo wanshinda kwa kuhonga mahakimu afu wanatafuta publicity ili wapate wateja kibao more money ....lakin they are very far from bein good lawyers..

Mimi sio advocate kwa kudeclare interest
 
Hayo masomo ya lawa school si wangeweka kwenye mitaala ya huko vyuoni. Au ndo mrija wa ulaji???
Masomo ni yale yale mbona ya vyuoni hamna jipya pale labda lile somo la Afya sijui Acciunting for lawyerrs leadership managemnt na takataka nyingine kama records keeping

Ila hayo mengine ambayo ndo ya msingi sijui criminal na civil procedure, conveyancing, commercial (company law& contract law), probate ni lazima usome huko vyuoni kwaiyo ni masomo ya kawaida tu mkuu
 
Umeongea vizuri sana kuhusiana na supp ambayo ni ishu ya kawaida sana..

Vp mkuu wale ambao wanaDISCO eti wameonewa na walimu ama inakuaje?
Yani ile disco ya kupata Fs za kutosha kwenye zile core subjects ni uonevu wa walimu ama wanafunzi wazembe?

Let me tell you the truth, mimi ni kati ya watu àmbao nilipata supp nyingi sana kwenye core subjects. Yaani lilibaki somo moja tu niwe discontinue. Yaani kitendo tu cha kupata supp nilifurahi sana na nikamshukuru mungu kwa sababu nilijua if I work hard nitaclear masomo yote. Sasa kwa wale wanao disco hakuna cha kusema mwalimu kawaonea au mwanafunzi ni mzembe.

Ila kwa upande mwingine shida ipo kwa sisi wanafunzi. Watu wanajisahau wanafikiri ile ni mitihani ya kawaida ya undergraduate kumbe ni proffessional exams. Katika hii mitihani u have to know ur tutor well nikimaanisha his/her mode of teaching and what he wants u to do in your exams or in ur career.

Sasa watu wengi wanasahau hilo. Mimi nilivyorudi kufanya mitihani ya supp kwanza kabisa nilikuwa naangalia past papers za mwalimu huyo yaani nilikuwa naangalia nature ya maswali yake, halafu nilikuwa na refer back his mode of teaching and answering questions. Aisee kila paper niliokuwa naifanya nilikuwa nilii clear at once.

Nakumbuka nikabakiza somo moja ambalo niliporudia tena nika clear. So in short hakuna mwalimu anaye muonea mwanafunzi. Mimi supp nilizo zipata I deserved them. Na nilikuwa najua nilikuwa ninakosea wapi.
 
Ninachojua ni kuwa mwanafunzi anafaulu au kufeli kwa average score, yaani wastani wa mitihani mitatu ya somo moja lenye mitihani mitatu na oral, sasa si lazima ufaulu components zote ndio maana ukiangalia matokeo ya mtu unaweza ona kwenye component ya somo fulani ana F lakini final grade amefaulu hilo somo, hii inamaanisha kuwa pamoja na kufeli labda component moja lakini wastani wake unaotokana na components nyingine alizofaulu ulikuwa ni mzuri. Utaratibu huu unasaidia sana maana ingekuwa ni lazima ufaulu mitihani yote sijui kama kuna ambaye angekuwa anatoka salama.
Ushauri wa Msingi...
Ufundishawaji humo vyuoni utuliwe maanani tatizo halipo law school tatizo lipo mavyuoni huko wanafunzi wanapata degree lakini ni watupu hatari....yani siku izi ukiingia chuo kusoma degree ni guarantee utaipata uwe kilaza au kisomo utaipata tu...sasa pale law school wamekaza ndo mana wengine wanadisco mana wana degree za kupewa ila law school sio sehem ya kupata DISCO...

Yani 15 Fs still unalalamika?
Mi naona ni vizuri kwa afya ya ukuaji wa taaluma ya sheria kwakweli....

ni sawa na udokta yani waachiwe wote wafaulu na vilaza humo.humo.si ndo wale madokta wanaopasua kichwa wakati mgonjwa anaumwa goti??

TATIZO LIPO vyuoni huko sio Law School...Law School ni kama kokoro linapokea Takataka zote za vyuoni so likianza kuchuja vilio vingi
 
Let me tell you the truth, mimi ni kati ya watu àmbao nilipata supp nyingi sana kwenye core subjects. Yaani lilibaki somo moja tu niwe discontinue. Yaani kitendo tu cha kupata supp nilifurahi sana na nikamshukuru mungu kwa sababu nilijua if I work hard nitaclear masomo yote. Sasa kwa wale wanao disco hakuna cha kusema mwalimu kawaonea au mwanafunzi ni mzembe. Ila kwa upande mwingine shida ipo kwa sisi wanafunzi. Watu wanajisahau wanafikiri ile ni mitihani ya kawaida ya undergraduate kumbe ni proffessional exams. Katika hii mitihani u have to know ur tutor well nikimaanisha his/her mode of teaching and what he wants u to do in your exams or in ur career. Sasa watu wengi wanasahau hilo. Mimi nilivyorudi kufanya mitihani ya supp kwanza kabisa nilikuwa naangalia past papers za mwalimu huyo yaani nilikuwa naangalia nature ya maswali yake, halafu nilikuwa na refer back his mode of teaching and answering questions. Aisee kila paper niliokuwa naifanya nilikuwa nilii clear at once. Nakumbuka nikabakiza somo moja ambalo niliporudia tena nika clear. So in short hakuna mwalimu anaye muonea mwanafunzi. Mimi supp nilizo zipata I deserved them. Na nilikuwa najua nilikuwa ninakosea wapi.
Noted mkuu
Ila naona ume 'corroborate' points zangu nilizozisema awali....
Tatizo kubwa lipo kwa wanafunzi hata kama walimu wana tatizo mi naona ni yale ya kawaida tu ambayo tumeshayazoea...

Hongera kwa kuchomoa
 
Daah! na sisi tuliosomea PHARMACIST, ushapata degree yako hapo ya miaka 4, ili upate cheti(register) sasa inabidi ufanye mtihani wa phc,concl, huo huwa wanafanya wanafunzi 1000, wanaofaulu hawafiki 100, ndio unapata cheti sasa na muhuri, unaokuruhusu kuweka kwenye Pharmacy.. waliofeli wanapaswa kurudia, na unalipia mkwanja mrefu si bure... namshukuru mungu nilipita kati ya 98 tuliofaulu. LLB sijui LST, poleni kwa kudisco, komaeni mtapata tu muhuri.
 
Kumbe na nyie mna same system?

Sasa na mbona huko hawafaulu sana mana hamna tofauti na LST unafikiri tatizo ni walimu ama wanafunzi??
 
Jamani matokeo yametoka, kati ya wanafunzi 500+ walio clear masomo yote ni 22!
Hapa kuna tatizo nasi weak students kama mtu anavyoweza kudhani. Kuna tatizo katika teaching and examining/exam set up!.
We acha kusoma endekeza starehe,piga kitabu,jiandae vizuri na matokeo yatakua mazuri tu,poleni
 
Hujaeleweka. Jipande. Andaa hoja za msingi.
Nmekufuatilia comments zako zote mkuu sasa napata wasiwasi kama waga unaelewa darasani ....
Nilchokisema choooote wewe umeona andiko la wakili msomi peter kibatala tu sio... .
Soma sana usiposoma utafeli ndio maana ulipata supp kibao ila baada ya kuelewa mistakes uka clear safi kabsa ila ubabaifu soma ....
The only way we can be assured that you have understood the matter is through exam km utafail afu udai kwamba Una proficiency kaka utakuwa unapoteza muda tu

Back
Top Bottom