Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

Mifumo yetu ya elimu hasa kwenye utungaji na usahishaji wa mitihani unatoa mianya ya kuonea mwanafunzi na kutotenda haki.

Nilileta mada juzi kati hapa nikiomba taratibu za kuappeal matokeo ya sekondari maana nina uhakika kuna mshenzi aliamua kunifanyia uhuni katika mitihani yangu.

Ela kuna ukweli pia kuwa wanafunzi siku hizi hawachimbi. Mzaha mwingi na hizi fani ambazo ziko sensitive kwa maslahi ya nchi, hawapitishi vilaza ingawa wapo wanaopenya maana tunawaona katika uongozi.
 
Kikubwa kusoma Tu hizi shule nchi zote zimekaza Sana tena wakaze zaidi Kenya,Zambia, USA, Canada kote pa Moto tu
 
Back
Top Bottom