500 kwa 22 hii ni sawa na darasa zima lazima kuna tatizo linalohitaji utafiti.Hivi unaanzaje kufeli wakati umehudhuria darasani ?
Unless darasa zima lifelishwe kwa makusudi
Sasa si uwashauri waliofeli waombe re-marking?, kumbe solution mnayo halafu mnapiga keleleNadhani niekuwekea hapa evidence kuwa wanapoomba re marking wengi wanafaulu. Usikatae kuna tatizo!
!Sasa si uwashauri waliofeli waombe re-marking?, kumbe solution mnayo halafu mnapiga kelele
Yeah tatizo lipo kubwa sana tu sema watu wanajaribu kulifivha tu500 kwa 22 hii ni sawa na darasa zima lazima kuna tatizo linalohitaji utafiti.
MANUAL ON LAND LAW AND CONVEYANCING IN TANZANIA: Ndiyo hiki?Mramba salute nikuwa na manual yake kabla ajatoa kile kitabu na Prof aise yule jamaa ana material kichwani. I wonder kwanin bado migogoro ya ardhi haina solution Tz
Stanley nisaidie vitabu au manuals za vya Conveyancing, commercial, accounting for lawyers, professional conduct and ethicsNdio mana naskia ili upate disco ni lazima upate F tatu full suit yani kwa masomo 5 ambayo ni yale core...na ukicheki yote ni yale mtu kashasoma undergraduate ambayo ni Criminal Civil , Conveyancing(land) , Probate sasa hapo kweli utasema ni mwalimu...
Mi ninakataa mpaka mwisho kwa wanaodisco ila kwenye supp nakiri kuna uzembe mkubwa ktk markin hasa kwa Commercial
Calm down! Comment yako ya msingi ndio inayopotosha, ulipodai "second sitting huwa wanafaulu wengi", sasa ni matokeo gani huwa yakitoka yanaonesha hawa ni second or third sitting?We naona law school huijui waulize wanaosaupuaga kila pepa kua kwenye zile form unaambiwa ujaze ni sitting ya ngap...sasa kama umeshasapu mara kumi bila mafanikio sasa unajaribu mara ya 11 utaandika 1st sitting sio 11th sitting? /11th supplementary si ndio?
Ndo mana ukichomoka mara ya kwanza bila sapu wanasema umetoboa kwenye first sitting...
Unajua nyie ndo wale much know unabisha ili uonekane unajua ilihali i know nothin even nothin itself....
Hivi vijiprofesa uchwara vinatia huruma teh teh...Mimi ninafanya kazi hapo na mwalimu mmoja amelazimishwa kujiuzulu kutokana na matokeo hayo alipata msala wa kukamatwa akibadilisha max kwa wanafunzi wachache aliyokuwa na list ya namba zao kwenye diary sasa kuna wengine wameachwwa wakati wao ndio Wana madudu zaidi ya hayo wako wskiume wanne na wa kike wawili tutakapompa Waziri ushahidi tutaweka hadharani pia
Haha uko obsessessed na legal profession sana mbona nyie mnavaa maovaroli na mahelment kwenye jua kali???Mawakili wasomi hamna kitu kazi kuvaa makoti meusi kwenye jua kali.
Umeongea vizuri sana kuhusiana na supp ambayo ni ishu ya kawaida sana..Acheni kulalamika jamani someni. Hakuna tatizo lolote kwa walimu tusiwasingizie. Mimi nimesoma law school and am now an advocate. Law school sio mchezo jamani, unatakiwa usome kwelikweli. Mimi sikufaulu at the first seat nilikuwa na masap yangu kibao lakini nilipambana mpaka mwisho wa siku nikatoka. Actually it took me two years until i bacame advocate. So kwa wale ambao mnasuplimentary jihesabuni mpaka hapo mlipofika you are winners yaani nyinyi tayari mmeshafaulu, ninacho washauri kwa sasa ni msikate tamaa hata kama unasap kumi make sure kwamba kila wanapotoa ratiba ya kufanya mitihani we nenda kafanye sap zako yaani dont stop until you finish them. Usiseme napumzika sijui nimechoka, utashangaa unasahau vitu, na utakuwa unaona tu wenzio wanaapishwa wee bado hujaclear sup zako. Nawatakia kila laheri, just take courage and go. On my side I never complained. I just took my books and went on studying. Right now I love my job and am enjoying what am doing.
Asante kwa kunisahihisha mkuu mana hata jina nilikua simjui vizuri.....Siyo Hasani Majamba, bali ni Hamud Majamba
Remarking u mean appeal?Nadhani niekuwekea hapa evidence kuwa wanapoomba re marking wengi wanafaulu. Usikatae kuna tatizo!
Mkuu naona umejulia simu ukubwani...Wakili mtarajiwa unaandika kama reseater! Vyuo vya Kata shida tupu.
Law School.
I beg your pardon!computer haikosei acha uongo.
Haimake sense eti?Hivi unaanzaje kufeli wakati umehudhuria darasani ?
Unless darasa zima lifelishwe kwa makusudi
Hiyo ndo Manual ila kwa sasa wameigawanya mara mbili kwenye Land Law na Conveyancing...yani wameandika vitabu viwili kutoka kwenye iyo manualMANUAL ON LAND LAW AND CONVEYANCING IN TANZANIA: Ndiyo hiki?
Mkuu kiukweli sina soft copies ila kwa Conveyancing ukiwa na manual ya Mramba umemaliza...Stanley nisaidie vitabu au manuals za vya Conveyancing, commercial, accounting for lawyers, professional conduct and ethics
Wapi nimesema 2nd sitting wanafaulu wengi?Calm down! Comment yako ya msingi ndio inayopotosha, ulipodai "second sitting huwa wanafaulu wengi", sasa ni matokeo gani huwa yakitoka yanaonesha hawa ni second or third sitting?
Yani unafanya kazi hapo halafu unaenda kumpa waziri ushahidi? Ag principal Lukumay amesemaje? Mana yule mmasai naona anawanyoosha siku izi..Mimi ninafanya kazi hapo na mwalimu mmoja amelazimishwa kujiuzulu kutokana na matokeo hayo alipata msala wa kukamatwa akibadilisha max kwa wanafunzi wachache aliyokuwa na list ya namba zao kwenye diary sasa kuna wengine wameachwwa wakati wao ndio Wana madudu zaidi ya hayo wako wskiume wanne na wa kike wawili tutakapompa Waziri ushahidi tutaweka hadharani pia