Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 129
Matokeo ya kura ya Uchaguzi wa Wabunge katika majimbo 7 yaliyoshindwa kufanya uchaguzi tarehe 31 Oktoba 2010 na hivyo kulazimika kufanya jana yametangazwa. Matokeo hayo yanaripotiwa kuwa Chama cha Mapinduzi kimepata ushindi wa viti 3, CUF ikapata viti 3 na CHADEMA ikajipatia kimoja.
Washindi hao, majimbo yao na vyama vyao ni:
Chanzo cha taarifa - TBC (taarifa ya saa saba mchana leo)
http://www.wavuti.com/habari.html#ixzz15N0jBW00
Washindi hao, majimbo yao na vyama vyao ni:
- Asumpta Mshama - Nkenge/CCM
- Haji Juma Sereweji - Mwanakwerekwe/CCM
- Moshi Kakoso Selemani - Mpanda Vijijini/CCM
- Said Amour Arfi - Mpanda Mjini/CHADEMA
- Mbaruku Salum Ali - Wete/CUF
- Faki Haji Makame - Mtoni/CUF
- Hamad Ally Hamad - Magogoni/CUF
Chanzo cha taarifa - TBC (taarifa ya saa saba mchana leo)
http://www.wavuti.com/habari.html#ixzz15N0jBW00