24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
samahani na hawa graduate waliokosa ajira nao tuwashauri lip...hao wakaokote chupa majalalani
samahani na hawa graduate waliokosa ajira nao tuwashauri lip...hao wakaokote chupa majalalani
hao wanajichelewesha wenyewe tu. Waende wakapate kozi za uganga wa kienyeji watatoka tu. Pia kuna fursa nyingine makanisani, waanze kuhubiri dini tusamahani na hawa graduate waliokosa ajira nao tuwashauri lip...
ahaaa ahaaa umenikumbusha jamaa mmja nasikia naye mchungaj wakat miaka 2 iliyopita alikuwa mlevi hatari mhhh mwenyezi mungu si wa sporthao wanajichelewesha wenyewe tu. Waende wakapate kozi za uganga wa kienyeji watatoka tu. Pia kuna fursa nyingine makanisani, waanze kuhubiri dini tu
hahaaa. inaitwa fursa kwa woteahaaa ahaaa umenikumbusha jamaa mmja nasikia naye mchungaj wakat miaka 2 iliyopita alikuwa mlevi hatari mhhh mwenyezi mungu si wa sport
walipokuwa masomoni nataka nianze na mshaara wa lak 9 sahiv wapo teyali kujitolea😀😀hahaaa. inaitwa fursa kwa wote
Siku hizi unaambia mashirikana sekta binafsi zinazotoa nafasi za kujitolea ni dili sana. ukitoa tangazo mara moja maombi ya kujiunga kibao. Wasomi wengi wanaogopa kwena kijijini kulima, wanaona ni kudhalilisha elimu zaowalipokuwa masomoni nataka nianze na mshaara wa lak 9 sahiv wapo teyali kujitolea😀😀
ahaaa ajira hamna so ni mwendo wa kujitolea yan unakuwa cheap labour badala ya skilled labourSiku hizi unaambia mashirikana sekta binafsi zinazotoa nafasi za kujitolea ni dili sana. ukitoa tangazo mara moja maombi ya kujiunga kibao. Wasomi wengi wanaogopa kwena kijijini kulima, wanaona ni kudhalilisha elimu zao
cheap labor vs skilled labor.. hahaaaa. Inafikia hatua mchoma mikaaau mpika gongo anakuwa more skilled than mwenye degree. Mchoma mikaa na mpoka gongo wanatumia skills kufanikisha kazi zao, ni skilled labour hao. Lakini graduate na vyeti vyake anaenda kujitolea kufanya kazi, anakuwa ni cheap labour tuahaaa ajira hamna so ni mwendo wa kujitolea yan unakuwa cheap labour badala ya skilled labour
Tutafute pesa matokeo yatakuja tu
Usiwatishe vijana wewe hamna kitu kama hicho!!From Accredited Source
Form Six Results Will Be Online On 14 July 2017.
My Take
Ukiona Una Div 2 Please Usiguse Hizi
Course Kwenye Hivi Vyuo
1. M.D - MUHAS
2. L.L.B - UDSM
3. PETROLEUM - UDSM
4. HSM - MZUMBE
5. .......?? Taja Zingine
Sitaki Povuu!
Yaaap! SUA ndiyo Mkombozi kwa PCB,PCM,CBG,PGM,EGM wenye III_II Kama hutaki ushindani wa vyuo Nenda SUA na viambatisho vyote Wanakuhakikishia Udahili siku hiyo hiyo.Nakumbuka 2008/2009 baada ya kujipima nikaona bora nijisalimishe.Hadi sasa kuna vipanga wa Walioenda UDSM,MUHAS,UDOM wanasaga soli na kumaliza bahasha za kaki (.....nimesoma UD....,Muhimbili)SUA hata wakati wa vyuo vikuu 2 walipokea hadi div 3 point 15, sembuse sasa?? Same swala mkopo ndo watu wajipange
Mkuu huyo dogo kwenye avatar yako ana asili ya ugaidi ndani yake.Hiv avatar kachora mchiz wangu rama umemlipa au ww ndo rama!? Unatumia kipaji cha mtu acknowledge basi