Matokeo Ya Kidato Cha Sita ACSEE 2017/2018

Matokeo Ya Kidato Cha Sita ACSEE 2017/2018

Kabla ya kuanza kutisha wenzako inabidi uangalie kwanza waliomaliza miaka kama miwili iliopita kwa coz hizo wapo wapi
 
Currently me namshauri mtu asome chochote katika chuo chochote ila tu asijibane sana kwenye ajira mfano mtu anayesoma petroleum eng huyo mtu anasehem 3 tu za ajira 1 apate gpa nzur awe TA 2 akafanye wizaran au tpdc 3 aende kuchimba ges mtwara na makampun nimachache sana
Compared na mtu wa HRM ingawa wanasoma wengi lakin kila kampun kila office lazima itaajiri HR
 
Chukua hiyo LLB kwa mwaka kuna graduates zaid ya 3000 bado wanaosoma nje na ajira sidhan kama zinafika 100/year
 
Alaf ajira haiangalii chuo ww soma chuo chochote tu mfano ajira za walimu wa arts sasahivi kwan c wamefuta kwa vyuo vyote au walisema wataajir chuo flan na kingine hawataajiri. Tunasoma tupate pesa sio kujaza vyeti so usitishe watu humu
 
Ukiona umepata div two na kuendelea tafuta tu shughuli mbadala ufanye...


OVA
 
Nyie mnawaza kwenda kusoma chuo kikuu wakati wasomi wapo kibao wamehitimu Hawana kazi.. Tafuteni hela tuu .
 
From Accredited Source
Form Six Results Will Be Online On 14 July 2017.

My Take
Ukiona Una Div 2 Please Usiguse Hizi
Course Kwenye Hivi Vyuo

1. M.D - MUHAS
2. L.L.B - UDSM
3. PETROLEUM - UDSM
4. HSM - MZUMBE
5. .......?? Taja Zingine

Sitaki Povuu!
Petrol mwaka huu wanaenda wenye four maana vipanga walihama baada ya kuona kazi yao ni kusimamia mauzo ya shell
 
Ushauri wa bure kwa wahitimu watakao kuwa na div 2 & 3 Waombe vyuo vingine..

UDSM, MZUMBE , SUA, ...hawatapata nafasi.
Wacha kuwatisha vijana... Kama una three ya 13 mpaka 15 ya PCB omba vizuri tu... Kozi kama aquaculture ya SUA wanachukua..! Udsm education unapata vizuri tu.! Tena Kama una 13 udsm unaweza kupata fisheries and aquaculture...

So ombeni madogo..! Kinachotakiwa ni uwe na cut off point zinazotakiwa na pia kuwahi kuomba tu..! Yaani within six hrs toka kufunguliwa kwa website ya TCU, unatakiwa uwe umeshasubmit maombi yako...! Na pia usibadirishe kozi zako.. Ukiomba uwe na uhakika usiwe kigeugeu..!

HAPO UTAPATA KOZI UNAYOITAKA!

Ubavu!
 
Ushauri wa bure kwa wahitimu watakao kuwa na div 2 & 3 Waombe vyuo vingine..

UDSM, MZUMBE , SUA, ...hawatapata nafasi.
SUA hata wakati wa vyuo vikuu 2 walipokea hadi div 3 point 15, sembuse sasa?? Same swala mkopo ndo watu wajipange
 
Ngoja Magwiji Wa Petroleum Waje!
 
SUA hata wakati wa vyuo vikuu 2 walipokea hadi div 3 point 15, sembuse sasa?? Same swala mkopo ndo watu wajipange
Msiseme hatukuwatahadharisha...

Kumbuka sasa ni vyuo ndio vinachagua..
 
Back
Top Bottom