Matokeo ya Kidato cha Pili hewani: St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege waongoza

Inaonyeha nji hii wasomaji tangu kuzaliwa kwa tanganyika wapo mikoa ya kilimanjaro,kagera na mbeya na na wakuja kutoka mikoa hiyo wanaoishi Dar esalaam. Tanga wao ni Baikoko tu, kanda ya kati wao ni kushabikia chama tawala,kusini wao ni kun'gang'ana gesi watumie peke yao.
 
Mkoa wa Mtwara hoi kielimu.Wawa wa mwisho kitaifa.
Huku ndio Ccm wanamitaji mikubwa ya wajinga.Lazima upinzani uwekeze Mtwara na Dodoma kuelekea 2020
 
Serikali imepiga marufuku kuchuja wanafunzi. So, matokeo yajayo hata hizo Saints zitaharibiwa na lundo la vilaza watakaobebwa juu juu ili wamalize miaka yao na kuifanya Serikali ifanikiwe malengo yake ya Big Results Now

Hiyo ya kuondoa wanafunzi bila kuwasaidia wapande juu siipendi.
 
Inaonyeha nji hii wasomaji tangu kuzaliwa kwa tanganyika wapo mikoa ya kilimanjaro,kagera na mbeya na na wakuja kutoka mikoa hiyo wanaoishi Dar esalaam. Tanga wao ni Baikoko tu, kanda ya kati wao ni kushabikia chama tawala,kusini wao ni kun'gang'ana gesi watumie peke yao.
ulivyo unafikiri wanaosoma st francis ni wanyakyusa?
 
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili yameachiliwa na NECTA. Wanafunzi wamefaulu kwa asilimia 91 ikiwa ni ongezeko la asilimia mbili kulingana na 2015. Ifuatayo ni orodha ya shule zilizoongoza kitaifa.

View attachment 460220

SHULE KUMI ZA MWISHO
View attachment 460241

KUANGALIA MATOKEO, BOFYA HAPA
Kilimanjaro, mbey na kagera sio watu wa spotispoti
 
Hivi kaizirege inafundishagaje mbona kila mwaka inaongozaa yawe la saba form four na form two sijui wanatumiaga nini INA maana hakuna vilaza
Shikamoo...kwasasa zipo mbili senior na junior...junior imekua ya tatu na senior niya nanili. ..
 
Jamani wadau naombeni link itakayofungua matokeo kwa wepesi zaidi ya huku necta pls
 
Back
Top Bottom