Domeliani Cheneney
Member
- Dec 20, 2012
- 30
- 2
Ndg jf,
mm naona visbabishi ya kufeli kw wanafunzi mitihan ni vingi mno, baadhi ni;
1.migomo ya walimu
2. impact ya tuition zinazofundishwa na walimu wasio na sifa yaan non professsionals
3.mazingira magumu ya wanafunz kujifunzia eg hakuna vitabu, shule hazina walimu na waliopo wameshakat tamaa
4.utandawaz eg, cmu, internets,
5.kushamiri kwa mitandao ya ngono mashuleni aidha baina ya wanafunz kwa wanafunz au wanafunz na walimu
6.mitaala ya ajabu ajabu inayobadilikabadilika kama misimu ya majira ktk mwaka
7.mifumo ya maudhi katka utungaji na usahihishaji ya mitihani.
note
serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi haina malengo yoyote la kiukomboz ktk suala hili kwan co juz wala jana madhara ya hayo niloorodhesha hapo juu yameonekan lkn hakuna hatua zozote ZILIZOCHUKULIWA zaidi wahucka wanapga tu miayo na propaganda zao za kisiasa