Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

Kama hali ndo hii tusubirie matokeo ya darasa la 7 hapo ndo itakuwa kichekesho,walimu wa sekondari jiandae kupokea mzigo
 
Serikali imefeli kuhamishia sekondar wahitimu wote wa darasa la 7,bila kuzingatia vigezo hakuna sababu kukariri fomu II.
 
Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
 
matokeo yakiwa mabaya zaid,serikali ya(kibongo) tz kwa kukosa msimamo kama kawaida najua itatoa tena msamaha.
 
Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
 
Kwa tuliokwisha mark hii mitihani tunajua hali ni mbaya saaaana. Shule watu 200 wa kwanza ana 7%
 
Kwa level ya kidato cha pili kama mwanafunzi alikuwa ameandaliwa vizuri kuanzia shule ya msingi wastani wa alama 30 ni mdogo sana.Tatizo ni kwamba mfumo hasa wa KUWATAHINI WANAFUNZI wa shule ya msingi ni mbovu sana sana sana,huwezi ukampa mwanafunzi hesabu akokotoe halafu umpe na majawabu ya kuchagua, huoni kwamba ataghairi kukokotoa na atachagua jawabu lolote? AMINI USIAMINI VIJANA WANAOJIUNGA KIDATO CHA KWANZA WENGI HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA.JE! UNAFIKIRI MWANAFUNZI HUYU ATAFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA II? HATA KAMA MNGEWEKA WASTANI WA ALAMA 3 NI NDOTO
WIZARA HUSIKA ILIANGALIE KWA UPYA SUALA HILI,INGAWA INADAIWA KUWA TEKNOLOJIA INAYOTUMIKA INAPUNGUZA GHARAMA (NI MABILIONI MANGAPI YA WANANCHI YAMELIWA BILA MAELEZO YA MSINGI?)
 
Elimu yetu imebakwa na Mashetani CCM na Serikali yake

sasa kaka mambo ya siasa na elimu yanaingiliana vipi?....wanafunzi wa siku hizii wameendekeza mapenz,usharobaro na usister duu tuuu na ndo maana wanafeli sana mitihanai yao....so cccm haihusiki apo kabisa ktk kufeli kwao mitihan.....
 
aaahh!!! jaman wasiwas ondoeni idad itaongezeka ya wanafunz watakaoingia kidato cha 3,2tastandardize matokeo kama kawaida watoto wataendelea kusoma
 
nakuunga mkono hippocratessocrates, na hii ni kutokana na umbumbumbu wa viongozi wetu kufanya vitu vyote kisiasa, wanajenga majengo lakini kusema ukweli wale watoto wanaenda sekondari pasipokuwa na sifa thabiti na uwezo wa kimasomo. Mimi nashauri wasije wakavunja kanuni hiyo kustandardize, hii shock ni alarm nzuri sana kwa subsequent years, kila transition ina gharama zake.

Mkuu hata kama watajifanya hamnazo wakavunja hiyo kanuni ya kustandardize wajue ni sawa na kuufunika moto na majani au nguo ukitegemea hautawaka tena. Lakini wakumbuke hilo bomu litalipuka watakapofika kidato cha nne.
 
Aisee, this is very serious. It is cruch time now something must be done to avert this crisis.
 
Tatizo lengine ni kwamba kila mmoja naona mwenzake ndo anakosea, Viongozi wa elimu wanawaona walimu kuwa hawfanyi kazi vizuri, walimu wanaowaona wakuu wao wao wa shule wakorofi, wakuu wa shule wanawaona viongozi kuwa wamekosa sera na muelekeo na kuwa shule haziongozeki kwa kuwa hazina vifaa, walimu, vitabu n.k wanafunzi wanawalaumu walimu kuwahawafundishi na walimu wanaona wanfunzi wa kizazi hiki ni matatizo matupu, wazazi wanawaogopo watoto wao na wanaona walimu kuwa ni maadui wa watoto wao. basi imekuwa ni mvurugano mtupu!
 
bora mie niliesoma kipindi cha mwinyi na benjamin huyu wa sasa na pm wake liwalo na liwe.
chezea ccm wewe, matokeo drs7 kiwango cha ufaulu kimeongezeka.:majani7: :majani7: :majani7: nafundisha sec ya kata bt im busy with topin up my salary my daughter has to go to school nxt yr and i mean SCHOOL sio hizi nnazofundisha mie:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Kuna taarifa kutoka kwa wasahihishaji wa mtihani wa kidato cha pili wa mwaka 2012 kuwa HALI NI MBAYA SANA na kuna shule huenda zikakosa kabisa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tatu kwa mwaka 2013! Taarifa zinaeleza kuwa wakati wastani wa kufaulu ni Alama 30, shule kwa Kanda ya Kusini-Lindi na Mtwara wanafunzi wake wameshindwa kabisa kufikisha wastani huo na wengi wao wameishia wastani wa 10 hadi 15! Ikumbukwe kuwa kuanzia mwaka 2012 wanafunzi watakaoshindwa kufikisha wastani wa alama 30 hatawaruhisiwa kuendelea kidato cha tatu bali watatakiwa kukariri kidato cha pili! Matokea ni mabaya sana, lakini swali la kujiuliza ni kuwa TATIZO LIKO WAPI?

Tatizo lipo kwa Sister Joyce!
 
Tatizo kubwa la kuporomoka kwa elimu katika nchi hii ni hawa magamba kuacha kuwekeza katika elimu na kuwekeza zaidi katika siasa. Na pia huyu mkuu wa magamba kukosa uwezo kuongoza na kudhani kuwa mahakama na vyombo vingine vya dola eg. polisi kuwa ndiyo suluhisho la kila tatizo katika kaya yetu(TZ)?
 
Back
Top Bottom