Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.
Jamani Kilombero jifunzeni toka Nyamagana. Tunataka tuonyeshe miujiza ya dunia na tuingie ktk Genesis Book Of Redords
 
Kidogo-kidogo tutafika!
Mimi hasira zangu kwa CCM na Tume ya Uchaguzi sijui nizielezeje.
Na hao wasimamizi wanarubuniwa vipi lakini?Ni Njaa kali au nini?
Lazima bunge litabadili katiba hv karibuni na mambo haya ya NEC na CCM kuwa mashoga utaisha.
 
Mkuu BIRO Lipangalala,Jongo Mlabani,Mbasa,Kionjo,Kosovo,Katindiuka wengi wao wamekataa Elimu bure,Afya bure,Cement 5000/= na bati 5000/=.Wamechagua sisiem.
 
Hawa CCM inabidi tuwapeleke JERA miaka 30 kwani ni wabakaji, wanatulazimisha sisi watutawale kwa nini???Huo ni ubakaji jamani.
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>

Hongera mdogo wangu ila kwann hupokei cm?


We Mashishanga we si babu kabisa wewe!!?,, mwache preta
A%20S%2012.gif
asome kwanza.wink
 
Mungu ibariki Tanzania na wapenda maendeleo wake,:israel:
 

Attachments

  • Antonov.JPG
    Antonov.JPG
    37.8 KB · Views: 36
wana Kilombero wamekubali kumpa msanii abdul mteketa jimbo. nawapa pole zao. wamemuacha mpambanaji dada yetu regina.
 
Ndugu zangu niambieni huko segerea kunani, kilombero je? Nani mshindi.

Kama wanachakachukua nijue mi nataka enda japo niwepo nje mpaka kieleweke.
 
Habari zina sema Chadema imeshinda lakini mkurugenzi kapigwa mkwara akitangaza chadema imeshinda atafute sehemu ya kazi nyingine.

Hivi kweli jamani hii ni haki kweli? wamerudia kuhesabu na wakaweka za kuchakachua lkn bado wameshindwa sasa hawataki kutangaza mshindi, jamani wakilombero msikubari mlinde kura zenu ndiyo silaha yenu katika miaka mitano ijayo.
 
Habari tunayo wa CHADEMA amemzidi wa CCM kwa kura 1200. Hizo watazichakachua sasa hivi
 
Ndio tangu asubuh wanamlazimisha mkgenzi atangaze chama kisichoshinda naskia na mama wanataka wampe rushwa akubali matokeo
 
inabidi uongozi wa juu wa CHADEMA uhamie fasta kwenye majimbo yenye utata kuongeza nguvu
 
Wapigakura wajitokeze kudai haki yao vinginevyo haki hiyo CCM watacheza nayo.wajifunze kwa Arusha, Mwanza n.k.........................
 
Habari hii ina ukweli na punde nimemtumia sms Dr Slaa, yule mama ameshinda ila kuna hila kama ya Ulanga Magharibi na ni kweli wanaweza kutaka kununua matokeo kama chama ila kwa Mteketa sasa yuko hoi kiuchumi. Nimeongea na mmoja ya waliojumuisha kura anasema mama kashinda kwa tofauti takribani alfu na upuuzi ila CCM WANATAKA KUCHAKACHUA. WENYE SIMU YA REGIA MPIGIENI MWAMBIENI ASIDANGANYIKE NA MAPESA ASIMAME KTK MSTARI SALAMA. MIE NAMKUBALI SANA NA UMMA WA ULANGA KILOMBERO UKO MKONONI MWAKE.
 
Regia asaidiwe maana tangu asubuhi yuko pale Bomani na wananchi yeye mwenyewe tayari ana takwimu za ushindi wake, nimemsihi Dr Slaa kumsaidia kwa hali mali kisiasa ili akue na kukomaa kisiasa kama kina Mdee, kilombero ametisha na sasa nguvu ya umma imsitiri atutoe kimasokimaso wana Moro, So God help us.
 
Mimi nasikitika sana kuwa kwani kuna nini majimbo ambayo upinzani ha hasa ule wa Chadema ukiwa unataka kushinda, matokeo ndo yanacheleweshwa vibaya mno!

Prof. alishashinda, Rejia alishashinda, yaani kichwa kinaniuma vibaya, kwanini lakini nec?????
Sehemu zetu zote matokeo kuhesabu tu, inakuwa shida, wakati kupiga kura haikuwa vile. Halafu mbona mwaka huu kura zilizoharibika nyingi sana?????

Nec jamani iwe huru Tanzania Bara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom