Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.

josiah2008

Member
May 22, 2010
51
23
Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.

Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.

Matokeo zaidi baadaye.
 
kumbe redet na synovate waligeuza kura zetu wakawapa mafisadi...ona wanavyo aibika sasa...walikazana kujilisha upepo sasa wanatua aibu...
CHADEMA CHADEMA , MY CHADEMA.....MAFISADI ANZENI KUKIMBIA NCHI
 
Safiiiiiiii sanaaaaaaa,jamani huku sisi ni saaa tisa na dakika 26 usiku hakuna kulala twasubiri matokeo
mapinduzi daimaaaa
 
kumbe redet na synovate waligeuza kura zetu wakawapa mafisadi...ona wanavyo aibika sasa...walikazana kujilisha upepo sasa wanatua aibu...
CHADEMA CHADEMA , MY CHADEMA.....MAFISADI ANZENI KUKIMBIA NCHI

Wacha hatoki mtu hapa tunawahitaji Segerea bana khe khe kheeeee wasitufanye kama walivyomfanya Chavda.
 
askofu karibu jack danny hapa....tulijua GS atashinda tu....waje waongee sasa
I am shading tears already.
She won even before they voted 'yes' for her.
Mungu wetu ni mwaminifu. Wakunyumba hujaniamsha.
 
Habari za uhakika ni kwamba chadema wamechukua kilombero. Hongera mh. Regia Mtema.

Change is real!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom