Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.
Updates: CCM inaongoza by 7000+, regia ana kura 4500+; so far that is the situation sijui wapiga kura ni wangappi; kura hizi from Start TV
 
umechakachua. ccm imechukua jimbo hilo

Sikujua kuwa wewe ni mpuuzi kiasi hicho.

Watu wanaweka matokeo ya takwimu wewe unaleta maneno yako. Kama huna data za kuleta nenda kalale, usije kutuletea kichefu chefu bure.
 
TGS D, una uhakika na hiyo taarifa ya Kilombero.. mimi nataka kuwa careful sana.. isije kuwa ameongoza vituo kumi kati ya 200 tukaanza kushangilia..
ila ni dalili njema .. i'm keeping fingers crossed
 
Updates: CCM inaongoza by 7000+, regia ana kura 4500+; so far that is the situation sijui wapiga kura ni wangappi; kura hizi from Start TV
Nimeongea na Regia,

Anakiri mchuano ni mzito, anasema kuna maeneo anamzidi mwenzake na kuna maeneo anarushwa vibaya sana. Anasema kufikia kesho matokeo rasmi yatajulikana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom