MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Kilombero iko hoi kiuchumi hakuna maendeleo sasa kwanini bado mna wakumbati ccm!.mtaendelea kutembea kwenye barbara za vumbi mpaka yesu atakapo rudi. kataa ccm ile mageuzi yaje ktk nchi yetu
Ulanga Mashariki
JK 17,000 plus
Slaa 3000 plus
Habari za uhakika ni kwamba chadema wamechukua kilombero. Hongera mh. Regia Mtema.
Change is real!
Wana Jf hali ya sintofahamu bado inaendelea hapa ifakara matokeo bado hayajatolewa hadi muda
huu.Uhakiki bado unaendelea zoezi ambalo linafanyika usiku kucha kwani masanduku ya kura
mengine yamefikishwa leo jioni.kuna harufu ya uchakachuaji.Matokeo rasmi yatapatikana kesho.
Regia Mtema bado ana nafasi ya kushinda.Baada ya huo uhakiki nitawajulisha.