Matokeo St.Marys Secondary kichefuchefu

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,028
2,553
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.
 
ni boarding au ni day school hio?,kama ni boarding wa kulaumiwa ni uongozi pamoja na walimu kwa kutokuweka strict timetable na kufuatilia wanafunzi wao.......likewise kama ni day wazazi ni wa kulaumiwa na ukilaza wa watoto pia lol
 
Haiwezeka; labda JF itakua imemhuju tena yule mmiliki wake Mhe Mch Dkt Mama Lwakatari katika hili la shule zake kutokufaulu??
 
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

Mkuu ulitegemea nini? Muujiza au? Mwenye shule mwenyewe (Mch. Dr. Rwakatare) keshaingia kwenye siasa tena za magamba, hayo ndio majibu yake! Usitegemee shule kama hiyo i-perform academically, never! Na bado; muda si mrefu atazifunga.
 
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

shule ya saint mary's ipi? kwani iko moja? jf ina vituko!
 
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

yaani wewe ni senior expert member halafu hujui hata sehemu ya kupost habari hii? tabu kweli kweli
 
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

mkuu nilijua didy yuko pekee kuandika kichina na ubusy !!
hizo zimekuwa za biashara siku hizi mpwa wala usishangae
 
mkurungenzi a.k.a mmiliki alikua bize kujibizana na watu hapa jf na haya ndo matokeo yake.
 
mchungaji, askofu dr. Mama Lwakatare yupo busy jukwaa la wakubwa....unategemea shule yake itapata nini?
 
hile shule walimu wote wanaofundisha pale ni waganda na wakenya kuanzia chini hadi juu headmaster wao ni mganga anaitwa
mr.kiddu sasa hawa jamaa hufundisha sysbabusss ya kenya na uganda........sasa unafikiri watoto watafaulu vipi
 
Ngoja nitafute solid evedence halafu nitarudi hapa. sikubaliana na hizi ada wanazotutoza hawa wezi.
 
Back
Top Bottom