Ndiyo mambo ambayo wapenda amani, maendeleo, sera nzuri, Umoja na udungu tunayapigia kelele kila siku. Kuna inshu ambazo kila mtu zinamgusa na ni haki yake lakini kuzipata Tanzania chini ya utawala huu ni kichekesho. Utadhani haiko kwenye utaratibu wa kila au utadhani hawaoni mahitaji! mfano: Ukienda bank, ukiwa unasafiri sehemu yeyote ile, nk.
NEC yetu ni matokeo ya mfumo mbovu wa kiutendaji na ni tone moja katika bahari. Zipo sekta nyingi za serikali ambazo ziko mahututi, huduma ziko chini sana na hawana taarifa kuwa kunahitajika mapinduzi ya kiutendaji katika sekta nyingi. Wastaafu ndo wanafanya kazi za vijana wapi na wapi ndugu zangu hii ni karne ya 21, ukiwa na speed ya mwaka 77 au 79 wakati wa nduli huwezi kusurvive ukiweza huweza kudumu.
We must change our way of doing things, vinginevyo tutaendelea kuwa vichekesho kila sehemu huku tukishindwa kuwa na kitu chetu cha kujivunia.