MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
matokeo yoote yaliyotolewa ni ya barabararani kwahiyo haisumbui kabisa . ngoja tusubirie huko vijijini sasa .
 
Wanabodi,
Hatimaye matokeo ya awali ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki yameanza kutolewa na kuonyesha Chadema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali!.

kituo cha Nshapu 3 kata ya Nkoaranga Chadema 110- CCM 74
Kituo cha Ngarasero:
Chadema 116-CCM 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32
Majiyachai Chadema 130 CCM 53
Chadema 105 CCM 68
Chadema 115 CCM 42
Chadema 118 CCM 48
Mjimwema
Chadema 125 CCM35
Chadema 129 CCM 37
Usa River
Chadema 151 CCM 17

Kwa mujibu wa matangazo ya moja kwa moja ya ITV ya saa 12:00 yameonyesha Chadema kuongoza katika vituo vifuatavyo!.


NB: Matokeo haya ni ya awali tuu ambayo yanaonyesha nyota njema huonekana asubuhi ila wapenzi na mashabiki wa Chadema msianze kushangilia. Ya Busanda na Biharamulo Magharibi yananikumbusha kuwashauri mzianze kushangilia, uchaguzi ulishaisha leo ni uthibitisho tuu!.

ukumbuke maneno yako wakati wa kampeni. Acha kuwalamba miguu wezi brother
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
makumira A
cdm 118 ccm 42

B
cdm 100 ccm 42
C
cdm 92 ccm 50
D
cdm 68 ccm 40

mmmmmmmh ccm imeshikwa pabaya
 
ushauri wangu kwa mods ni kuwa kunapokuwa na mambo haya ufuatiliaji matokeo kungekuwa na coordinating point (member). huyu member kazi yake iwe ku-capture results, kuzi-tabulate na zinakuwa zinatoa totals (sub-totals) at any time "t" as we go on.
 
Urongo mtupu CCM ndo inaongoza vituo 100 dhidi ya 30 iliyoongoza Cdm subirini matokeo hadi kituo bcha mwsh msije mkalia kwa maghorofa yenu kubomoka CCm tuko juu!
Inaonyesha huyo mwanamke hapo nyuma yako amekushika saburi umeshtuka unaweweseka na kutaka kuzuia mvua isinyeshee magamba. Ha Ha Habari ndio hiyo
 
isee kuna kituo hapa mbuguni cha mfilisi mpaka sasa gali haijaenda kuwachukua.hata majumuisho ya kata bado hawajaunganisha embu cdm fanyen haraka nahisi kuna baya laweza tokea kata ya mbuguni
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
mungu jalia hawa wezi safari hii waone hayo . Ashinde aliye kusudiwa na wananchi
 
kwa hiyo Lusinde na Mwigulu bado hawapanda ndege kurudi makwao....nini Igunga hapa...wanashangilia Shemeji...shemeji...shemeji
 
Katika kata ya Olinde

Kituo A CCM 1480 chadema 45

B CCM 345 chadema 243

c ccm 578 chadema 123
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom