MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni a cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm a cdm 116,ccm 37
b cdm 111,ccm 34
majiachai a,b,c,d,e cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70
eeeh kwenye nyekundu nimekubali hapo kunawatu wenye akili timamu!
 
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70

mah! Cdm nakupenda kwa moyo wangu wote.saa ya ukombozi ,ee mola tufikishe kwenye ushindi wetu salama dhidi ya manyang'au wa ccm
 
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70


kaka upo kila pande
 
Eeh mola tusaidie kuyadhibiti mafisadi mpaka mwisho wao udhihirike, yanakula sana nchi yetu na kutupelekea katika umaskini wa kutisha. Viva chadema
 
Mpaka sasa...

Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Lusindeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa majimbo kama haya matokeo ya kuamua mshindi hutokea mashambani !
 
Matokeo ya awali cmd ina run. Kata akeri nyumbani kwa mzee Sumari n s/m mazoezi kituo1 ccm 49 cdm 120 cm 50 cdm 158 kito 3 cm 20 cdm 127 ccm 45 cdm124 . Source Sunrise radio
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
My Take:

Vituo hivi vya awali ni vile ambavyo CDM ina washabiki wengi, angalieni msije kufa kwa presha! USA river kila siku wana ccm wanazomewa sasa unategemea matokeo gani? Jipeni moyo ila hatutaki fujo!

Tumekustukia wewe na sredi zako za vijanaaa kijembeeeeeeeee sie kibelaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaa tupe tupe matokeoooo kudadadeki.
 
Eee Mungu wa mbingu na nchi wasaidie CDM watwae jimbo hawa ni watetezi wa kweli wa taifa letu zuuuri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
asanteni kwa kunippoza roho! nategemea mtujuze zaidi, Mungu tujalie usikubali rushwa itawale taifa lako
 
Katika chaguzi zilizo za haki na ukweli basi kwa mlolongo huu ni dhahiri tungesema kuwa Jamii Forums ina predict Joshua Nassari kuchakuliwa kuwa mbunge mpya wa Arumeru East na CCM kushika nafasi ya pili. Ila kwa kuwa Tanzania kila kitu chawezekana, hawa jamaa wa Tume kwa maelekezo ya CCM watapima upepo wakiona umetulia wanachafua hali ya hewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom