Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,246
- 4,753
Mkuu taratibu, hasa hapo kwenye rangi ya maji bahari.
Teh teh teh unatisha hivyo ni vitu NYETI! Haya bhana "usipumbazike"
Mkuu taratibu, hasa hapo kwenye rangi ya maji bahari.
umemaliza kila kitu mdauHakuna wakati taifa letu limechanganyikiwa kama sasa. Fikiria walioidhinisha matokeo ndio wanaotengua wakingali madarakani. Ilikuwaje Lukuvi atoe tamko la wizara ya elimu wakati waziri husika na naibu wake wako. Mimi nilidhani walishajiuzulu. Mwenyekiti wa NECTA na Katibu mtendaji kama wanajiamini na elimu zao na wangependa kutunza heshima zao waondoke madarakani kabla matokeo mapya hajatangazwa vinginevyo wote ni wahuni 2
Hii ndiyo made in Tanzania, huwezi kuipata sehemu yoyote duniani.
Hii ndiyo made in Tanzania, huwezi kuipata sehemu yoyote duniani.
samahani mkuu.umemaliza kidato cha nne mwaka gani? Viwango vya juu! Umetumia vigezo gani? Umewahi hata kuona moja ya mtihani wa necta mwaka jana? uspumbuzike na hoja za wanasiasa. Heri yao ambao hawajashikiwa akili zao na wanasiasa uchwara!
Only in tanzania...
Alikuwa na majibu kabla ya kuanza kazi ya uchunguzi kwenye tume.
In fwakt, iyo tume ilitakiwa iwe na mtu mmoja tu!
Huyohuyo mwenyekiti, huyo katibu, huyo mjumbe, huyohuyo nafasi zooooote.!
Na Mtu huyo ni Prof. Mchome (I doubt huu uprofesa wa kibongo, bora hata maji marefu aliamua kujipa)
Made in Tanzania.Kikao cha kupitisha Viwango Vipya vya Ufaulu vilivyotumika kwa Kidato cha Nne kilihusisha Wizara ya Elimu na Ufundi,NECTA na TCU. Nyaraka za kikao hicho kilichofanyika Disemba mwaka jana,zinaonesha kuwa kikao husika kilikuwa chini ya Uenyekiti wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dr.Shukuru Kawambwa na Katibu wa Kikao alikuwa Naibu wake Bwana Phillipo Mulugo.
Kwa upande wa NECTA,waliwasilishwa na Mwenyekiti wake Prof.Rwekaza Mukandala na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo,Dr.Joyce Ndalichako.Pia alikuwepo Mjumbe kutoka Mamlaka ya Vyuo Vikuu nchini-TCU ambaye alikuwa ni Prof. Sifuni Ernest Mchome (ambaye baadaye akawa Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Ufaulu wa Kidato cha Nne!)
Kikao hicho kiliidhinisha kutumika kwa viwango hivyo vipyakwa kidato cha nne na cha sita. Wajumbe wote wa Mkutano walikubaliana na viwango vipya na matumizi yake kwa kidato cha nne 2012.
Habari zaidi zimeripotiwa katika Mwananchi la leo
Je, kuchunguza na kutaka kubadili matokeo haya si dharau zilizopitiliza kwa watanzania? Je, ni halali kwa Prof.Mchome kuhudhuria kikao na halafu kuongoza Tume ya Kuchunguza? Watanzania tumedharauliwa,sasa tuchukue hatua gani? Nani mtanzania muungwana atawaamini watu hawa kwasasa?
Kikao cha kupitisha Viwango Vipya vya Ufaulu vilivyotumika kwa Kidato cha Nne kilihusisha Wizara ya Elimu na Ufundi,NECTA na TCU. Nyaraka za kikao hicho kilichofanyika Disemba mwaka jana,zinaonesha kuwa kikao husika kilikuwa chini ya Uenyekiti wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dr.Shukuru Kawambwa na Katibu wa Kikao alikuwa Naibu wake Bwana Phillipo Mulugo.
Kwa upande wa NECTA,waliwasilishwa na Mwenyekiti wake Prof.Rwekaza Mukandala na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo,Dr.Joyce Ndalichako.Pia alikuwepo Mjumbe kutoka Mamlaka ya Vyuo Vikuu nchini-TCU ambaye alikuwa ni Prof. Sifuni Ernest Mchome (ambaye baadaye akawa Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Ufaulu wa Kidato cha Nne!)
Kikao hicho kiliidhinisha kutumika kwa viwango hivyo vipyakwa kidato cha nne na cha sita. Wajumbe wote wa Mkutano walikubaliana na viwango vipya na matumizi yake kwa kidato cha nne 2012.
Habari zaidi zimeripotiwa katika Mwananchi la leo
Je, kuchunguza na kutaka kubadili matokeo haya si dharau zilizopitiliza kwa watanzania? Je, ni halali kwa Prof.Mchome kuhudhuria kikao na halafu kuongoza Tume ya Kuchunguza? Watanzania tumedharauliwa,sasa tuchukue hatua gani? Nani mtanzania muungwana atawaamini watu hawa kwasasa?
Obwato hakuna haki yoyote kwa mwanafunzi kuwekewa kiwango kidogo cha ufaulu huu ni udhalilishaji kwa mwanafunzi mwenyewe, na kama kweli tunataka kutengeneza taifa la watu washindani kwenye nyanja za ajira na kujiajiri ni bora tukamaintain viwango hivyo vikubwa ili tutoe mazao bora! kuwawekea viwango vidogo vya ufaulu ni kuwadanganya wanafunzi wenyewe kuwa wao ni bora na wanapofika kwenye ushindani na wengine wanaonekana vilaza tu! Just thinking outside the Box!