Matokeo kidato cha sita 2014, je hakuna aliyepata alama a kwenye physics tanzania nzima

kmkm

Member
Jul 13, 2012
26
7
Nimefuatilia shule nyingi zilizofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi, lakini sijaona alama A kwenye Physics. Je ni kweli?
 
Phys ya sas. Sio ya zaman No A . unacheza Na phys WW?

Kwa nini isiwepo hata moja halafu useme WACHEZEA PHYSICS wewe? Ina maana ni ngumu kuliko masomo yote ya University? Maana hata University A zinapatikana!
 
Hayo matokeo ni magumashi kaka! Fuatilia hapa!

"...Division zero mwaka jana 2604, mwaka huu 612. Tofauti watu 1992, sawa na asilimia 325%.

Division one, mwaka jana 325, mwaka huu 4,365. Tofauti 4040, sawa na asilimia 1243%. Haya ni maajabu ya karne.

Walitanua ukubwa wa goli ili iwe rahisi kufunga... Kutoka zero zaidi ya 2000 mwaka jana hadi zero 600 tu mwaka huu. Kutoka div.one 300 tu mwaka jana hadi one zaidi ya 4,000 mwaka huu.

Hivi waalimu walewale wa shule zilezile zilizotoa one 300 mwaka jana ndo wametoa one 4,000 mwaka huu??

Changamoto zao zimetatuliwa? Maabara zimejengwa? Vitabu vimeongezwa? Madai ya walimu yamelipwa? Waalimu wa Kiswahili wameacha kufundisha Hesabu kutokana na ukosefu wa waalimu wa hesabu?

Kama changamoto hizo zote hazijatatuliwa mabadiliko haya ya ghafla kutoka div.one 300 hadi div.one zaidi ya 4,000 yametoka wapi? Kweli tumeamua kutanua goli tufunge kirahisi. Karibu Tanzania, hii ndiyo BRN bhana!.."

Aendelea kuitafuta A ya physics
 
Advanced physics bas2 Ndo hiyo inawanya wa2 wasipate point3 . cheki mwaka Jana T O alikua na C ya phys. Seriously phys in mziki
 
Advanced physics bas2 Ndo hiyo inawanya wa2 wasipate point3 . cheki mwaka Jana T O alikua na C ya phys. Seriously phys in mziki

MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post
 
Physics ndo somo lenye walimu wachache kuliko masomo mengine yote ukilinganisha na idad ya wanafunzi. unategemea nini hapo.
 
Back
Top Bottom