Matokeo Kidato cha Sita 2009

Wazee ahsante kwa ushauri,

Ni hivi wazazi wake hawana uwezo asome nje ya Tz na pia ana wadogo zake nao wanasoma!

Yeye anasema somo alililiopenda zaidi ni Economics na pia alipata A. Je vipi mnashaurije akisoma Pure Ecomomics course BA (Econ.) say Mlimani? Then akaja kuwa Economist!

Au vipi akisoma BCOM ambapo pia ili awe na uwanja mpana zaidi ya Economics? Y

Je asome Laws?

Family background wazazi ni watu wa kipato kidogo: na anategemewa aje kuwasidia wadogo zake ili kuwapunguzia mzigo wazazi wake..na ndo maana alishauriwa achukue masomo ya Arts ili pengine apate kazi mapema ili aweze kuwasaidia wazazi na wadogo zake!

Tunaomba mawazo!

Mzalendo,

Nadhani huyo mwanafunzi ni binti, na nadhani kwa binti kupata A tatu si mchezo (mimi pamoja na kukesha na kusoma shule ya boarding sikupata B hata moja!). Naona ana bright future na ni vyema akaangalia ustaarabu nje ya Tanzania. Atakuwa more stronger and learnt.

Nakushauri ujaribu kuweza kumshauri ktk huu muelekeo.
 
Asome kozi yeyote but akomae huko chuo naamini atakuja kuwa Lecturer
 
Du ukiyaangalia haya matokea kwa makini utaona ni matokeo ya shule zaid kuliko watoto binafsi. Utaona shule either imefaulisha wanafunzi au imefelisha. Nawaonea huruma watoto waliofelishwa na shule.


Mkuu nakubaliana na wewe.
Ukiwa kilaza Olevel halafu ukafanikiwa kupata pepa na kufanikiwa kuingia shule kali za Alevel mfano Elboru,kilakala, mzimbe nk lazima utapeta tu.
Huwa nahisi wasahishaji wakishika pepa za shule hizo wanakua makini zaidi.
 
Huyu ndio Raymond Aidan ,usibishe vitu usivyovijua View attachment 652797
eea623bb27cd8de96ed7ba488e693bed.jpg


Kama huyo unasema ni Raymond then huyu ni nani? Kwa waliosoma Kibaha PCM 2009 wanisaidie who is this then?
 
Hizo picha hakuna sehemu improve ni Raymond huyo, nasema hivyo sababu nina vivid example kuwa Raymond aliyekua wa 2 2009 yupo Mtwara anafanya kazi as a telecom engineer
 
Mkuu nipo na classmate wa Raymond Kibaha hapa anaitwa Silvester Manumbu,so unapoandika vitu uwe una uhakika
If so then muoneshe huyo classmate wa Raymond hiyo picha niliyoweka then muulize ni nani huyo, naomba mrejesho ukipata jibu
 
Mpaka nikaja kureply kwako nimefanya yote hayo boss
Sawa mkuu umefanya hayo yote, then nisaidie homework ndogo tu, muoneshe hiyo picha then muulize huyo jamaa kasoma Kibaha mwaka wao PCM je ni nani huyo? Kisha naomba jibu la jina halisi la huyo mtu mkuu
 
Sawa mkuu umefanya hayo yote, then nisaidie homework ndogo tu, muoneshe hiyo picha then muulize huyo jamaa kasoma Kibaha mwaka wao PCM je ni nani huyo? Kisha naomba jibu la jina halisi la huyo mtu mkuu
Sawa me nimuuliza kama anamjua huyu mtu au alishawahi kumuona KIBAHA (2006-2009) maana kipindi hicho ndio alikuwa Kibaha.
 
Sawa me nimuuliza kama anamjua huyu mtu au alishawahi kumuona KIBAHA (2006-2009) maana kipindi hicho ndio alikuwa Kibaha.
Ngoja kwanza 2006 to 2009 hao si ni O'level mkuu? Hao wa advanced level ilikua 2007 to 2009 so kama huyo mtu wako kasoma Kibaha PCM 2007-2009 muulize hiyo sura anaijua kwa jina gani?
 
Ngoja kwanza 2006 to 2009 hao si ni O'level mkuu? Hao wa advanced level ilikua 2007 to 2009 so kama huyo mtu wako kasoma Kibaha PCM 2007-2009 muulize hiyo sura anaijua kwa jina gani?
Nilikosea kaka ni 2007 -2009
 
Mkuu Classmate wake kasema picha uliyoweka wewe ndiye Raymond Aidan,nakupongeza mkuu ulitumia lugha ya upole kunielewesha mpaka nikarudi tena kukupa salute yako!

Mpe hi T.O
Akhsante sana mkuu nilikua mpole tu ila tangu awali najua kuwa picha uliokuwa umetuma ni ya kaka yake mkubwa na Raymond ambaye amefariki mwaka jana, na huyo jamaa alisoma IFM...
Akhsante mkuu na jumapili njema
 
Back
Top Bottom