Matokeo Kidato cha Sita 2009

Matokeo Kidato cha Sita 2009

BelindaJacob,

1. Nimemwambia nitamnunulia laptop..ni ahadi yangu lazima niitizime kabla hajanza chuo. Ndo anauliza asome nini?? ana A 3 ktk Econ, Hist. & Geog.

2. Pia O level alipata A 8..na alikuwa kati ya binti waliopewa zawadi na JK 2007.

Yaani kila mtu amefurahi..tangu wazazi, waalimu hadi majirani!
Saivi yuko wapi?
 
Ha ha ha!!
Alijaenda Chuo akapata First Class
Sasa yuko Shirika Moja Kubwa Ana Kazi Nzuri!
Tunamshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom