Matokeo halisi yavuja

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,652
Reaction score
830,507


-Haya ni matokeo ya mwisho yaliyovuja katika kituo cha kura cha Tume ya Uchaguzi ya Uganda, The Strong Room

Afisa mmoja katika chumba cha makusanyo aliirekodi na kuivujisha bila kujulikana.

NUP tulishinda, na ndiyo maana H.E Bobi Wine amekataa yale yanayoitwa matokeo yaliyotangazwa na watendaji wa serikali.

Waganda WAKATAA matokeo feki.

Haya ndiyo matokeo halisi. βœŠπŸ½πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ


View: https://youtu.be/GRW5cCWdhdg?si=9CEpsrTZCMM9YK1g
 
porojo hii inafanana na zile za karne ya16, dah

mtu hata ndevu hanyoi ndio amshinde m7? itakua ni maajabu
 
Hili dikteta jizi linaulizwa kwanini limezima internet linasema , lenyewe na wenzake ndio lilitengeneza internet hivyo ndio maana wameamua waizime maana watu wametaka kuleta vurugu.

Sasa unajiuliza internet na vurugu vina uhusiano gani?

Linaulizwa kwanini polisi wake wanapiga wapinzani wake linasema sababu wapinzani ndio wanavunja sheria na jiji kubwa halitakiwi watu waandamane.


View: https://x.com/i/status/2011786363910168863
 
Ajabu Tanzania Wanaondoka wenye Nafasi kubwa kuisaidia
Ila inabaki Taka taka kama hizi
Uganda na Tanzania hakuna mpinzani hata moja mwenye sifa ya kushinda uchaguzi na kukamata dola, huenda ikatoke miaka mingi mno ijayo,
wapinzani waliopo kwasasa ni vibaraka waropokaji na mamaluki tu, na hicho ndicho kikwazo kwao
 
Reactions: Tui
Uganda na Tanzania hakuna mpinzani hata moja mwenye sifa ya kushinda uchaguzi na kukamata dola, huenda ikatoke miaka mingi mno ijayo,
wapinzani waliopo kwasasa ni vibaraka waropokaji na mamaluki tu, na hicho ndicho kikwazo kwao


Uko sahihi kabisa

Kwa aina yetu ya uongozi mtu anaweza kuwa Rais hata kwa miaka mia

Hata akiwa hawez tena kutembea wala hana nguvu yoyote ataendelea kuwa Rais

Hata mgombea akiua watu 1000 bado atabakia kuwa Rais tu

Waafrica tuna dunia yetu, kivyetuvyetu
 
magaidi hata milioni10 wakipotezwa at once kwenye nchi yenye watu milio70+ ni ahuweni muhimu sana,
iatasaidia mno kurahisisha uatikanaji wa huduma za kijamii kwa wananchi wote na kwa amani zaidi.

ni vizuri dunia nzima kuungana kuyaangamiza magaidi kukote yatakapojichanganya, kwakua hayana faida yoyote ispokua uharibifu tu
 

Washenzi hawa. Wanaiba chaguzi halafu wanapongezana. Hii Africa inawahitaji akina Captain Traore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…