Matokeo form 4 kunani Morogoro?

paluz

Member
Feb 9, 2016
53
9
Baada ya kuangalia matokeo kidato cha nne ,nimeamua kuleta hapa mada na kuuliza inakuaje mkoa wa Morogoro.

Unaingiza shule nne za mwisho kitaifa ,wakati kanda ya Pwani ikiendelea kuburuza mkia?

Hongereni Tanga! mmeingiza moja safari hii
1. Pande ya mkoani Lindi,
2. Igawa ya Morogoro,
3.Korona ya Arusha,
4. Sofi ya Morogoro,
5. Kurui ya mkoani Pwani
6. Patema ya Tanga
7. Saviak ya Dar es salaam,
8. Gubali ya Dodoma,
9. Kichangani ya Morogoro
10. Malinyi ya Morogoro.
 
daaah mwaka jana ilikuwa Tanga ndio imeingiza nyingi but mwaka huu imehamia moro


Mkuu hizo shule nne haimaanishi ndio mkoa mzima upo hovyo

Hata zile shule za kutoka mwanza zilivyo ingia topten haimaanish mwanza ina nafuu.

kwa ujumla shule zetu hizi zinamatatizo makubwa mnoo nadhani ni zaidi ya hilo laa vigodoro.
 
Hi
Baada ya kuangalia matokeo kidato cha nne ,nimeamua kuleta hapa mada na kuuliza inakuaje mkoa wa morogoro unaingiza shule nne za mwisho kitaifa ,wakati kanda ya pwani ikiendelea kuburuza mkia????
hongereni tanga! mmeingiza moja safari hii
1. Pande ya mkoani Lindi,
2. Igawa ya Morogoro,
3.Korona ya Arusha,
4. Sofi ya Morogoro,
5. Kurui ya mkoani Pwani
6. Patema ya Tanga
7. Saviak ya Dar es salaam,
8. Gubali ya Dodoma,
9. Kichangani ya Morogoro
10. Malinyi ya Morogoro.

Na zote hizo za Morogoro zipo wilaya ya Ulanga.
 
Eh Izo Shule Ndug Zpo Porin Uko Akuna Ukaguz Wwote Ambao Serkal Unaufanya Kuakikisha Wanafunz Wanasoma Staik Na Walimu Wanafundisha Staik Sasa Ndugu Unajua Kimetokea Nn Apo Mbaka Madgo Hao Wanazngua N Mfumo Ule Wa Gpa Kwamba Kulikua Na Asilimia Kama 5 Mwanafunz Anazpata Kwa Sababu Ya Maendeleo Yake Ya Kufanya Kaz Shulen Sasa Walimu Wakawa Wanawadanga Wanafunz Kwa Kuwapeleka Kwenye Mashamba Yao Ya Mpunga Na Kuwagongesha Job Il Wapate 5% Za Maendeleo Ya Kaz Shulen Bac Wanafunz Walikuwa Akipewa Kaz Za Kuhudumia Mashamba Ya Mipunga Uku Masomo Akuna K2 Awafundshwi Pia Walimu Wengne Kwa Kuwa Shule Zpo Porn Akuna Wa Kuwakagua Walikuwa Shule Awafik Kufundsha Wanafanya Biashara Zao Za Mipunga Na Bodaboda Mjin Na Mwsho Wa Mwz Ukfka Kama Kawaida Mshahara Wanavuta Mlitaka Wafaulu Vp
 
Tukumbuke kuwa yawezekana wengi wao waliofeli na hata kufikia zero ni wale waliofauli kuingia kidato cha kwanza pasipo kujua kusoma walakuandika, lkn leo hii tunataraji wake wafanye vzr. Pia ktk matokeo haya tusiwalaumu walimu pekee hata ww mzazi ulaumiwe maana kwa namna moja ama nyingine inawezekana umechangia kufeli kuna wale wazazi wenye tabia nzuri kumradhi wanaopenda kutembea na watoto shule kwa kuwadanya kwa kuwanunulia chips na kuwapeleka shule kwa bodaboda, pia kuna wale wazazi ambao huwa hawa wapi kanseling watoto wao kuna watoto wengine hawafiki shule badala yake wanaishia kucheza kiba-baba na kuvuta bangi akisikia sikufulani mtihani anaenda eti huyo anamawazo ya kufaulu huu ni utani. Kwahiyo tunapo angalia swala la kufeli tuwe na mawazo mapana zaidi. Mzazi chukua hatua kuhakikisha unafuatilia maendeleo ya mwanao shuleni na nje ya shule.
 
Baada ya kuangalia matokeo kidato cha nne ,nimeamua kuleta hapa mada na kuuliza inakuaje mkoa wa Morogoro.

Unaingiza shule nne za mwisho kitaifa ,wakati kanda ya Pwani ikiendelea kuburuza mkia?

Hongereni Tanga! mmeingiza moja safari hii
1. Pande ya mkoani Lindi,
2. Igawa ya Morogoro,
3.Korona ya Arusha,
4. Sofi ya Morogoro,
5. Kurui ya mkoani Pwani
6. Patema ya Tanga
7. Saviak ya Dar es salaam,
8. Gubali ya Dodoma,
9. Kichangani ya Morogoro
10. Malinyi ya Morogoro.
wana Jf wengi waliinanga Tanga wakati ilipoingiza shule nyingi katika shule za mwisho kufanya vizuri mwaka jana katika matokeo ya kidato cha pili. wengi walikuja na kebehi na kejeli wakihusisha kufeli huko na suala la MAPENZI na DINI. Nilihoji na kusisitiza kuwa kutumia "variables" hizo mbili ni KOSA na hakuna uhusiano kabisa kati ya hoja hizo na kufeli.....
sasa leo ni morogoro, Je nako ni mapenzi na dini(madrasa,uislamu)? haya wale waliotoa hoja hizo waje hapa watetee ? nasema na ntaendelea kusema kuwa Chuki dhidi ya imani isiyokuwa yako isiwapofushe watu mpaka kushindwa kuendana na uhalisia wa mambo. suala la wanafunzi kufeli na hasa shule za serikali ni suala mtambuka na tafiti nyingi zimeshafanywa ila wengi wetu ni wavivu kusoma tafiti na ni wavivu pia kuzifanyia kazi. ifike wakati mihemko ya kidini isitupofushe.
cc Mkoroshokigoli
 
Back
Top Bottom