Hapa tunawaonesha nusu tu mnalalamika tukionesha nyonyo lote si mtakimbia kimbia kama viroboto...
Basi nijibu tu afu swali litafata baadae...
Nitakusaidia kuyafunika vizuri, hata mtandio ntakununulia
mamary glands ni kwa watoto
baby mkubwa na mdogo
Ha ha ha.....
Halafu unakuta chini kavaa kimini kimemmbana halafu laini mpaka kinaonyesha pindo la pichu, kwakweli wanakera sana. Tena wengine ni wake za watu, huwa najiuliza hivi waumezao huwa wanawaruhusu watoke majumbani katika hali ile?
charminglady naomba nikuscreen touch mwenzo natetemeka mpaka meno na nyusi plus vinyweleo dah
Bora unibutton mkuu... Ukiniscreen touch nitavibrate!!!
Kwa hawa hakuna shida,maana unaona mazingira yao yanawaruhusu,huenda kule kwao hakuna nguo
Yaache yapunge upepo aseee kwani nimekuomba uyacheki banaaa
Tian hiyo avatar yako mbona kama nayo inafanana na kinachozungumziwa?lkn kwa upande wa chin wa wahusikaUkioa Utajua Kumdhibiti Mkeo
Hii inaitwa nyoka katoka pangoni kwa makusudi maalum!Ha ha ha.....
Hii ci ni kule kwa king mswati wanapokuwa wanachagua vitu maalum?