Matiti nje

Matiti nje

Hii hapa
avatar85441_3.gif

Mnzuriii
 
Waache Wayaweke wazi Uwepo Wao Ofisini Ni Pamoja na kupunga Stress Zetu
 
Halafu unakuta chini kavaa kimini kimemmbana halafu laini mpaka kinaonyesha pindo la pichu, kwakweli wanakera sana. Tena wengine ni wake za watu, huwa najiuliza hivi waumezao huwa wanawaruhusu watoke majumbani katika hali ile?
 
Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini matiti kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila mtu anayaona. Halafu myebana mpaka mnatupa majaribu kufanya kazi na nyie. Acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah

Ni fasheni imeingia, juzi nimesikia inaitwa Is-ha mashau-zi nilishangaaje????
 
ha ha ha ha ha kwa wale wenye umatemate inakuwa ni shida kwa kweli........................sipati picha miaka ijayo hali itakuwaje
 
Samahani bro... shikamooo!
Naomba kujua athari kubwa unazozipata kila siku kwa kuona manyonyo! Alafu bro wewe mbayaa...daaah ina maana ufanisi wako wa kazi una ingia kichakani ukiona haya maaaa... ya kina dada?
 
kuna mdada nilienda kwake kumuona mtoto baada ya kujifungua akaogopa kumnyonyesha mbele yangu lakini ofisini akija yapo wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom