tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Tian hiyo avatar yako mbona kama nayo inafanana na kinachozungumziwa?lkn kwa upande wa chin wa wahusika
Mkuuu...Unahakika?
Tian hiyo avatar yako mbona kama nayo inafanana na kinachozungumziwa?lkn kwa upande wa chin wa wahusika
Shika uone kama sijapiga kelele za mwizi....Nitayashika basi
Tian hiyo avatar yako mbona kama nayo inafanana na kinachozungumziwa?lkn kwa upande wa chin wa wahusika
Shika uone kama sijapiga kelele za mwizi....
umalaya wa wanawake wa siku hizi tena mengi makristo tu yenye mambo ya ajabu
Mkuuu...Unahakika?
Thank u for clarification,it's clear indeed.My Avatar Reads As Below.
Kwa wanaojua,ni kwa nini nyonyo ya mdada wa kushoto ni tofauti na wa kulia au mmojawapo anaumwa? Utofauti nauona kwenye chuchu,Msaada please.
kumbe wengi mmeishasomea fani ya tyta? ongera Charminglady!
refer my signature
Signature yako imenidhihirishia majibu ya dada mmoja aliyeniambia kuwa mantiki ya kuonyesha nyonyo zilizobana ni kutambulisha mbanano au mnato halisi wa maumbile ya mvaaji.
naoanisha na signature yako"..ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuri..."kweli jf ni shule tosha.
Alafu cha ajabu, ukimkuta demu anamnyonyesha mtoto wake wala hupati msisimuko...sana sana unabaki kumuangalia mtoto anayenyonya....na akimuacha mtoto huko kwake alafu uyaone yakiwa kwenye hiyo V akiinama......ni kama unataka kumwambia...hebu inama nione tena.
Kuna muvi moja...chalii kamtembelea mwenzake...mama wa mwenzake akainama na nguo yake ya V, madogo wote wawili wakaona matiti...basi chalii akamwambia dogo mwenzake mwenye mama.....DUH.....siamini kama umewahi kufaudu kunyonya yale matiti...
Kama hana mume atamuonesha nani? Nadhani hao sio wake za watu ila wanatafuta wa kuwadungua