Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 736
Mm kuna mdada chuoni anavaa vibaya sana ,Jana kavaa jasketi juu ya magoti,Leo suruali imebana k.. Yote nje nje hallafu ameumbika Du ni noma
Usiogope kaka majaribu ni mtaji wa kuongeza Imani....
mi nkajua una allergy
Leo nilimuona mdada mmoja pale Manyanya Kinondoni,kavaa kinguo chepesi kama cha kulalia,hajavaa sidiria,mvua ilikuwa inanyesha basi vichuchu vimechomoza kama ncha ya mishale ya Wahadzabe!Duhhh wadada tuoneeni huruma jamani!Wadada jamaani vaeni basi hata sidiria lohhh!
Kijana wangu wakishajua zimesimama wanadai wana aleji.na sidiria kabisa...
Amina mtumishi......Hahahahaha, asisononeke ajaribiwapo.
Hilo nalo ni neno, umesomeka mkuuKila jambo litapita tuu. Msiogope, haya mavazi nayo yatapita. Hata angelitoa nje, namwona tu ka box la biskuti dukani. Miye sili biskuti hivyo haliwezi nitia hamu. Lile ni chuu la mtoto miye lanihusu nini? Sikumbuki tena kunyonya, huenda wanawatamanisha watoto lakini ni ujinga tu. Mbona ya ng'ombe yako nje na ndama hanyonyi ila kwa wakati wake?
Acheni kuwasumbua, kila mtu anacho kinacho msumbuaga, wengine "vibration" unaonaje akikutangulia mbele yako
mhhhhh huo mtindo mbona umepitwa na wakati
Mm kuna mdada chuoni anavaa vibaya sana ,Jana kavaa jasketi juu ya magoti,Leo suruali imebana k.. Yote nje nje hallafu ameumbika Du ni noma
miss neddy,,kweli huu mtindo sio mzuri kabisaa!Wengine ndio ugonjwa wetu huo,tuoneeni huruma!kama aliouona sungura1980
Alafu sijui mimi nina bahati mbaya?Kitu kingine tena leo pale Morocco!Sasa itabidi niwe najifungia ndani sitokii!!
Ubazazi @ work
miss neddy,,kweli huu mtindo sio mzuri kabisaa!Wengine ndio ugonjwa wetu huo,tuoneeni huruma!
hahahahahaha tuwaonee huruma kwa kipi vaeni miwani ya mbao