Matiti baada ya kujifungua

Matiti baada ya kujifungua

DarKwetu

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
67
Reaction score
17
wana jf hasa akina dada naomba nijuzwe kwanini baada ya kujifungua mnaacha matiti hadharani wakati wa kunyonyesha. Ni vigumu kuona titi la mtu huyo huyo kabla ya kujifungua. Hata mnapokwenda kuongelea sehemu kiungo hiki husitiliwa.Huwa aibu inakwenda wapi baada ya kijifungua?
 
...miaka ya sitini walikuwa wanaficha nyonyo kwa khanga, siku hizi aaaah, global warming..teh! Raha tu ni kuwa mwanamke akishajifungua ile nyonyo inakuwa sahani ya kumlisha mtoto, maudhui yanabadilika ghafla, hata ukiziona ni kama umeona paji la uso tu...
 
kwa nini serena au kempisky viko hadharani? Nifiche hotel ya mwanangu? Na ikiwa kubwa zaidi ndio fahari zaidi(6stars)
 
miaka ya sitin? Labda huko kwenu,sie huku miaka hiyo walikuwa wanayaacha wazi muda wote, na ilikuwa wananyosheana watoto kama mama hayupo na mwanaye ana njaa.

Akchwale, mama anayenyonyesha matiti yake yalikuwa mali ya ubalozi.

...miaka ya sitini walikuwa wanaficha nyonyo kwa khanga, siku hizi aaaah, global warming..teh! Raha tu ni kuwa mwanamke akishajifungua ile nyonyo inakuwa sahani ya kumlisha mtoto, maudhui yanabadilika ghafla, hata ukiziona ni kama umeona paji la uso tu...
 
wengi huwa hawajitambui hao hata kama mtoto ana njaa nyonyesha kwa staha ziwa lote njee mhhhh afu linaachwa tu hapo hapo nje hata mtoto akidengua
 
Hapana chezea uchungu wa mwana, Yani mwanangu alie njaa niogope kumpa ziwa kisa watu wataliona?
Potelea kule......mtoto ale kwanza, nitamnyonyesha hata barabarani.
Tatizo mabazazi wakiona wanaona dogo anafaidi na wanatamani wangekuwa wao....lol.
 
Waacheni wanyonyeshe kwa raha zao,
Mnataka wafiche nini tena wakati ndo muda wake kutumika kwa matumizi sahihi so hayo mnayofikiria nyie..
 
Na wewe kwa nini kuchungulia chungulia matiti ya wanawake?

Siyo lazima kuchungulia. huwa ni kwenye kadamnasi na hata mtoto alishamaliza kunyonya lakini mama wala hana habari, ndo kwanza anaendelea na story.
 
Nyie ndio mnaowapa watoto maziwa ya kopo...

Sasa hivyo vititi vyako waogopa nini watu wakiviona?

wengi huwa hawajitambui hao hata kama mtoto ana njaa nyonyesha kwa staha ziwa lote njee mhhhh afu linaachwa tu hapo hapo nje hata mtoto akidengua
 
Sasa kwani shida ipo wapi?

Kwani titi ni sehemu za siri hata uweweseke hivyo?

Siyo lazima kuchungulia. huwa ni kwenye kadamnasi na hata mtoto alishamaliza kunyonya lakini mama wala hana habari, ndo kwanza anaendelea na story.
 
Nyie ndio mnaowapa watoto maziwa ya kopo...

Sasa hivyo vititi vyako waogopa nini watu wakiviona?

hahaha wavione tu bureeee etiii kwanza inashusha hadhi sikatai mtoto apewe nyonyo lakini angalau lifichwe kwa kitambaaa au mtandio sio kuliacha tu
 
mmmh, kama hujazaa ndio hivyo kila kitu siri. Hata ukipelekwa wodi ya kujifungua, unaifichaje K as if utazalia kwapani.

Uchungu ukianza kolea tu, unajikuta huna nguo.hata moja na k unaitembeza wodini kama leso.

Hata titi vile vile,.siku ya kwanza unakinbilia.kunyomyeshea chumbani, baada ya mwezi unalitembeza kama leso.

Kwanza huwa halivutii, mishipa ya damu inakuwa imelisimama kama mizizi.ya mhogo.

Siyo lazima kuchungulia. huwa ni kwenye kadamnasi na hata mtoto alishamaliza kunyonya lakini mama wala hana habari, ndo kwanza anaendelea na story.
 
Nyie ndio mnaowapa watoto maziwa ya kopo...

Sasa hivyo vititi vyako waogopa nini watu wakiviona?

Issue hapa ni double standard kwa maana wakati fulani ni kitu kisichotakiwa kuonekana hadharani na wakati mwingine sawa kuonekana.
 
Unakuta mama anampa mtoto maji akiwa kwenye kadamnasi, kisa anaogopa titi lisionekane.

Kazi kuu ya titi la mama ni kunyonywa na mtoto, mengine ziada.

Sasa kwani shida ipo wapi?

Kwani titi ni sehemu za siri hata uweweseke hivyo?
 
hakuna dabo standadi,unajidabosha mwenyewe tu.

Sasa unataka mwanamke atoe.nyonyo hadharani wakati hanyonyeshi?

Au unataka mama anayenyonyesha afiche nyonyo lake wakati mwanae ana njaa?

Labda niulize, kazi kuu ya nyonyo ni ipi?

Issue hapa ni double standard kwa maana wakati fulani ni kitu kisichotakiwa kuonekana hadharani na wakati mwingine sawa kuonekana.
 
hakuna dabo standadi,unajidabosha mwenyewe tu.

Sasa unataka mwanamke atoe.nyonyo hadharani wakati hanyonyeshi?

Au unataka mama anayenyonyesha afiche nyonyo lake wakati mwanae ana njaa?

Labda niulize, kazi kuu ya nyonyo ni ipi?

Ni sawa kazi yake ni kunyonyesha ila ambalo sikuwa najua ni kwamba kumbe hata nyinyi huwa mnaanza kunyonyeshea chumbani na baadae mnazoea. Kwangu kama mwanaume hiyo ndo nilikuwa sijui kwamba ni mazoea.Maana watu walio very sensitive na matiti yao hubadirika baada ya kujifungua. swali lilikuwa aibu inaenda wapi. Lakini umenijibu kwamba ukizoea aibu inaisha.
 
Back
Top Bottom