Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mie nitamnyonyesha mwanangu popote pale as long ana njaa
...Mke wangu akifanya hivyo namlamba makofi live bila chenga, the baby must be breast-fed, sio kukamua..amekuwa ng'ombe!!
...Mke wangu akifanya hivyo namlamba makofi live bila chenga, the baby must be breast-fed, sio kukamua..amekuwa ng'ombe!!
Hata kwenye public eehh Mfano katikati ya watu? Mbona hizi mashine zipo looong na watu wanatumia hasa wanapokuwa kwenye mazingira ambayo siyo...tena mwanaume anashauriwa kusaidia zoezi la ukamuaji
Mkuu kwa swali lako hapo juu, tuseme nini juu ya wale watakao amua kufanya ngono hadharani kupitia viungo halali?
nakubaliana na wewe mkuu.Titi linahusiana vipi na tendo la ngono mkuu....?
Maungo ya siri ambayo ni maungo ya uzazi huitaji kupewa sitiri stahiki, lakini kiungo kama titi kwa mwanamke si kiungo cha siri ndio maana mtoto mdogo anyonyaye hulichezea titi kama wewe uchezeavyo kijiko cha kulia chakula n.k
Titi halijawahi kuwa kiungo cha siri mkuu