Matiti baada ya kujifungua

Matiti baada ya kujifungua

hamna tabu unaweza kumnyonyesha na itakua kama ni dharura...kama uko katika hali inayo ruhusu utaweza kukaa kando na watu au utakaa sehemu walioko wanawake watupu...
 
huo uvivu wakupitilizaaaaaaaaa

Uvivu kivipi?kwani Huko kukamua ni Kazi ndogo?hyo Ndo habari ya dunia ya kwanza....wanawake kuachia mitindi kwenye public ilishasahaulika. Kamua weka kwa kichupa mtoto anakunywa mahali popote muda wowote.
 
mtoto akiwa ananyonya, huwa anamtizama wapi mama yake? Usoni, sometimes anakuvuta pua na midomo. Sometimes anakuparura tu usoni bila sababu.

Kama amearibia kuota meno, fizi huwa zinawasha, kuna saa anaiuma chuchu unastuka kwa maumivu, yeye amacheeeeka.

Kuna saa ananyonya kimya kimya huku anaishika miguu yake na kuimyanyua juu. Saa hizo anakutizama machoni kati kati ya mboni.

Mahusiano ya mama na mtoto, hujengwa sana wakati wa kunyonya, ya nini nimyime fursa mwanangu kwa kumfunika? au na wewe mama unajifunika hadi kichwa? mtasafoketisha watoto bure.

kwanza unashauriwa unaponyonyesha uwe.unamwona mwanao, uhakikishe nyonyo halizibi pua zake.

Mna mambo

Kama mwanamke atakua na nguo ya kujifunika ni vyema akafanya hivyo...au vizuri mwanamka akatembea na kanga nyepesi akaweka kwenye mkoba wake, mtoto akitaka kunyonya ajifunike....hii ni kwa wale ambao hawana tabia ya kufaa kanga au baubui....Pasina budi kwa dharura wanaweza kunyonyesha waziwazi....lakini hii ni kudhalilishwa wanaume pia...kwa sababu mnatufanya tuanze kutamani kusiko kwa lazima.....mambo kama haya ndo chanzo cha kupotea nguvu za kiume...
 
ImageUploadedByJamiiForums1399805324.938218.jpg
 
mtoto anapewa maziwa yaliyokamuliwa pale inapobidi, sio kuifanya lifestyle ya mtoto.

Kukamua kunaweka mtoto kwenye risk ya magonjwa-contimination yaweza kutpkea.

Maziwa yanayotoka kwa mama yanakuwa na joto linalotakiwa kwa mtoto. Kukamua hufanya maziwa yapoe, na kama ni sehemu huwezi yapasha joto, inakula kwa mtoto.

kukamua kunamnyima fursa mtoto ya kujenga mahusiano na mama yake, ambayo hufanyika wakati wa kunyonya.

Kuna option ya kukamua kwa mashine na kuyaweka kwa chupa. Hapa mtoto atapewa bill yake popote pale bila kutoa mtindi wa mama nje.
 
mtoto anapewa maziwa yaliyokamuliwa pale inapobidi, sio kuifanya lifestyle ya mtoto.

Kukamua kunaweka mtoto kwenye risk ya magonjwa-contimination yaweza kutpkea.

Maziwa yanayotoka kwa mama yanakuwa na joto linalotakiwa kwa mtoto. Kukamua hufanya maziwa yapoe, na kama ni sehemu huwezi yapasha joto, inakula kwa mtoto.

kukamua kunamnyima fursa mtoto ya kujenga mahusiano na mama yake, ambayo hufanyika wakati wa kunyonya.

Elimu unayotoa Ina manufaa sana. Hopeful wanawake wamekuelewa na hata sisi wababa tutafikisha ujumbe kwa wake zetu.
 
Biologicaly matiti huwa yana joto kali baada ya kujifungua kwa kuwa maziwa hujaa na kusababisha kufoka...So lazima wapunguze ama kwa kunyonyesha au kukamua na kuyatoa zaidi wengi hawajui ndo maana wanaacha wazi !! Wabarkiwe wazazi !!
 
Kongosho ni sahihi ukishakamua maziwa ya mtoto kuweka maziwa kwenye fridge? (Maziwa ya mama).
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Kongosho et al naona hii topic imepata contribution. Nawashukuru wote mnaoendelea kuchangia. Nina support sana mtoto kunyonya maziwa ya mama ila wakati fulani nilijikuta kwenye arguments na wife kuhusu kutoa ziwa hadharani ingawa naye alikuwa style ya Kongosho.Hata hivyo that is history hanyonyeshi tena.
 
Nadhani inafaa, ila isiwe baridi sana na yasigande na wakati wa kuyapasha, chemsha maji safi ya moto, tumbukiza chupa yenye maziwa ili yapate joto linalofaa.

Wengine wanatumia.microwave, ila.inabidi uangalie aina ya chupa zinazotumika.

Asante mkuu
 
Hapana chezea uchungu wa mwana, Yani mwanangu alie njaa niogope kumpa ziwa kisa watu wataliona?
Potelea kule......mtoto ale kwanza, nitamnyonyesha hata barabarani.
Tatizo mabazazi wakiona wanaona dogo anafaidi na wanatamani wangekuwa wao....lol.

Umeongea point,mi wangu nampa muda wowote anaotaka haijalishi tuko wapi.
 
Kawaida mtoto anatakiwa kunyonya huku akiwa anatizamana na mama yake,sasa nitakapojifunika itakuwaje.
 
yaani aibu uliyokuwa unaisikia wewe, inawezekana mkeo hata alikuwa haisikii.kabisa.

Akili yote iko kwa mwanae, kunyonywa na mtoto ni raha kuliko kunyonywa na yeyote, inatokea mbali sana.moyoni.

afu ukienda klinik unakuta wanao kaongezeka kg+ kwa kunyonya tu(ile miezi sita ya awali), unasikia fahariiiiiiii.

Ahsante Kongosho et al naona hii topic imepata contribution. Nawashukuru wote mnaoendelea kuchangia. Nina support sana mtoto kunyonya maziwa ya mama ila wakati fulani nilijikuta kwenye arguments na wife kuhusu kutoa ziwa hadharani ingawa naye alikuwa style ya Kongosho.Hata hivyo that is history hanyonyeshi tena.
 
Nathamini sana titi la mwanamke ndo maana ningependa anyonyeshee chumbani kuliko sebureni.
 
Back
Top Bottom