- Thread starter
- #21
wana jf hasa akina dada naomba nijuzwe kwanini baada ya kujifungua mnaacha matiti hadharani wakati wa kunyonyesha. Ni vigumu kuona titi la mtu huyo huyo kabla ya kujifungua. Hata mnapokwenda kuongelea sehemu kiungo hiki husitiliwa.Huwa aibu inakwenda wapi baada ya kijifungua?
hakuna dabo standadi,unajidabosha mwenyewe tu.
Sasa unataka mwanamke atoe.nyonyo hadharani wakati hanyonyeshi?
Au unataka mama anayenyonyesha afiche nyonyo lake wakati mwanae ana njaa?
Labda niulize, kazi kuu ya nyonyo ni ipi?
Umesaidia kumjibu watu8 kwamba kweli titi ni sehemu ya siri ndiyo maana huwezi kuonyesha wakati mtoto ananyonya. Hata wale mamiss na vipichu vyao bado hii kiunho wanakipa staha.