Mathias Chikawe ateuliwa Mwenyekiti bodi ya TIPPER

Mathias Chikawe ateuliwa Mwenyekiti bodi ya TIPPER

Unakera sana kwa kutetea mambo ya kijinga jinga tena ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho.
Ha ha ha,, ndugu yangu tujadili in a more civilized way, hatugombani, punguza hasira[emoji23][emoji23]
 
Mnajua maana ya uzoefu? Sasa Mathias Chikawe anayo uzoefu kwenye uongozi wa mambo ya mafuta?

Ingefaa angechukuliwa afisa mwingine huko Serikalini...na sio kubeba hivi Vibabu.

Halafu, kunatokea adjustment ya position za kazi..kwa kuajiri graduates...yaani ile nafasi ya afisa wa serikali, inajazwa kwa kupandisha daraja mwingine ..then pale cheo Cha chini aajiriwe gradute
Chikawe ni mtu mwenye uzoefu sana,, ni dizaini ya akina George mkuchika,, hawa watu huwa hawaachwi ovyo ivyo wako very experienced na mambo ya system
 
Nyie ndiyo mnashindia kashata na maji ya kandoro na bado mnapiga kelele kuisifia ccm
Vijana wamebaki kuchambua Michezo. Jitu linakomaa mishipa ya Shingo ooh Man U sijui Barcelona huku mfukoni Hana kitu

images (46).jpeg
 
Umri wao na kupumzika
Duniani kote hizo nafasi wanapewa watu very exprienced, kama wastaafu, utasikia obama, au bush kawa mwenyekiti wa board ya Boeing, Unilevel, etc,,
Ndo iko hivyo
 
Hivi unajua majukumu ya mwenyekiti wa bodi? Kwa kukusaidia ni mtu wa kuchair vikao vya bodi ambavyo vikiwa vingi ni 4 kwa mwaka. Sifa zake lazima awe na uzoefu wa uongozi. Hana mshahara bali sitting allowance tu. Acha kukurupuka
Utakuta posho ya kikao kimoja ni sh 5,000,0000 kwa vikao 4 sh 20,000,000 hata kijana aliyeajiriwa leo hapati hicho kiasi kwa mwaka.Vijana wapewe hizo nafasi kama sehemu ya kupunguza tatizo la ajira,wazee waliokula vinono miaka lukuki wapumzike sasa!
 
Habari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .

Hongera kwake .
Nchi imekamatwa na JK hii! Tuwe watulivu tu!
 
Unajua kuwa Board of Trustee sio kazi ya kila siku kwenda na kurudi?
Unajua kuwa Board of Trustee hazina mshahara zaid ya posho ya vikao kama vinne tu kwa mwaka?

Unajua kazi ya Board of Trustee ni kusimamia na kushauri Management ya Taasisi, sasa hao watoto wa kutoka shule wanaweza kuifanya hii kazi bila ya uzoefu?
Kwani ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Board of Trustee? Hivi hakuna tofauti kati ya Board of Trustee na Board of Directors?
 
Hakuna njia mkuu maana kwa sasa hakuna pa kukimbilia nafasi zote zimezibwa na wenye mvi
Dunia haina huruma. Wenye mvi Kuna wakati walikua vijana wakatengeneza mirija ya pesa na networks Sasa Ni wakati wao kufyonza mpaka kifo.
***Ikibid wateulewe bodi zaidi ya mbili

2981656_FB_IMG_1635069587192.jpg

c5cab434af168806db16f273051aa550.jpeg
 
Duniani kote hizo nafasi wanapewa watu very exprienced, kama wastaafu, utasikia obama, au bush kawa mwenyekiti wa board ya Boeing, Unilevel, etc,,
Ndo iko hivyo
Nakuja ndio busara zao uzoefu ....uzuri sio watendaji kila siku mara 4 th mwaka wanakutana
 
Wazee wanapambania afya zao mbovu lakini bado wanateuliwa kusimamia mambo mazito ya nchi
 
Unajua kuwa Board of Trustee sio kazi ya kila siku kwenda na kurudi?
Unajua kuwa Board of Trustee hazina mshahara zaid ya posho ya vikao kama vinne tu kwa mwaka?

Unajua kazi ya Board of Trustee ni kusimamia na kushauri Management ya Taasisi, sasa hao watoto wa kutoka shule wanaweza kuifanya hii kazi bila ya uzoefu?
Theoretically...lakini kinachofanyika wakati fulani huwa sivyo. Kuna basdhi ya Board zinapunguza hata ufanisi wa Mashirika kwa ushauri mbaya...
 
Hivi unajua majukumu ya mwenyekiti wa bodi? Kwa kukusaidia ni mtu wa kuchair vikao vya bodi ambavyo vikiwa vingi ni 4 kwa mwaka. Sifa zake lazima awe na uzoefu wa uongozi. Hana mshahara bali sitting allowance tu. Acha kukurupuka
Nakuunga mkono.
Je hiyo sitting talking and eating in bei gani?
Bado tunafanya kwa mazoea tu.
Achaguliwe hata kijana ale semina yakuongoza vikao vya bodi.
Mbona wanateuliwa wakurugenzi na DCs hawana uzoefu
 
Back
Top Bottom